album cover
Dopamine
7222
Hip-Hop/Rap
Dopamine è stato pubblicato il 13 settembre 2024 da Sony Music Entertainment East Africa come parte dell'album To Whom It May Concern - EP
album cover
Data di uscita13 settembre 2024
EtichettaSony Music Entertainment East Africa
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM119

Video musicale

Video musicale

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Nyashinski
Nyashinski
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Nyamari Ongegu
Nyamari Ongegu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kda Great
Kda Great
Producer
Teflon Zincfence
Teflon Zincfence
Producer
Dennis Papa
Dennis Papa
Mixing Engineer
Kiriama Inthehouse
Kiriama Inthehouse
Mastering Engineer, Mixing Engineer

Testi

Tunaget high kuji-entertain, au kuficha kapain
Sema wallahi na unadanganya, life najua itakucane
Peace of mind ndio kitu hawana, try kutuliza brain
Naficha white nalipwa na fame, najua wanaskia kujimurrr, uh
Utaona disguise zikianza kufade, na timeutaona tuchange
Watatry kusema walikumake, (click), si wangejimake?
Patience ya mine, huwaga inafail, unahaharibu vibes unatupwa njei
Unaskia nalight, napuliza jay, najua wanaskia kujimurrrder
Days za mine of late zote ni holiday
Mulla ni loong, nacheka na confidence
Nakimbiza dopamine najua kuna consequence
But, mulla ni looong
Days za mine of late zote ni holiday
Mulla ni loong, nacheka na confidence
Nakimbiza dopamine najua kuna consequence
But, mulla ni looong
Naona masmile, naona maface, zingine familiar zingine naguess
Blessed vile huwezi amini nimeshinda siku mzima nafinya refresh
Fresh narap kaa mimi hakuna mtu mwingine na-try kuimpress
Yes, nacheka na nyinyi, nikichezanga chini juu nacheza chess
Kwa life ya mine we ni guestukitoka jua kuna next
Ukiskia tamaa hiyo ni flesh, ukiishiwa jua we ni ex
Niko on my grind kaa crusher naplan hadi time ya kurest
Pass bag hii side kaa usher, skia bars, hiyo ni Nairobi West
You just wanna feel something
(Just wanna feel)
Maybeni mimi, ni fame ama nini?
Watiaji ni wengi, maflow ni baridi
Mashow ni wazimu, madollar ni mingi
Nikidai naeza bini ni bini ni bini
Ukishakata simu nishashika ingine
Mwaka imejaa kwa flyer ni mimi ni mimi ni mimi
Ushaona kakitu na hujaona ata kitu
Maybe ni mimi ni fame ama nini?
Watiaji ni wengi maflow ni baridi
Mashow ni wazimu, madollar ni mingi
Kwa flyer ni mimi
Ni mimi, ni mimi, ni mimi, ni mimi
Days za mine of late zote ni holiday
Mula ni loong, nacheka na confidence
Nakimbiza dopamine najua kuna consequence
But, mula ni looong
Written by: Nyamari Ongegu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...