album cover
Ticha
92
Afro-Pop
Ticha è stato pubblicato il 7 agosto 2025 da 5548772 Records DK come parte dell'album Ticha - Single
album cover
Data di uscita7 agosto 2025
Etichetta5548772 Records DK
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM67

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Kwaze Tz
Kwaze Tz
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Ezra Mapunda
Ezra Mapunda
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Omega Touchez
Omega Touchez
Mastering Engineer

Testi

Eeh naitwaga Dolphin
Huu mdundo kapiga Omega
Hahahaha this song is crazy man
Mmmmh
Lemme tell u my story
Nlikotoka pagumu ankoli
Mavumbini uko kwenye mapori
So kiatu tu uliza na soli
Woooh um sorry
Nshazingua sana siezi ku worry
Food adimu so vitu vya mtoli
Nshachezaga chandimu hio boli
Kilichoniweka hapa nini wanangu
Mwanetu Hukukata tamaa
Kutoka fanya nini mwanangu
Mwanetu usikate tamaa
Mkazo piga pini mwanangu
Usichoke kupambana mwanangu
Juhudi zimenifanya niwe zaidi yao
Nmewekwa na Mungu siogopi fitina zao
Unataka kutunzwa umekuta na mcheza kwao
Oooh oooh mwalimu wao wananiita
Ticha aaah Ticha aaah
Ticha aaah Ticha aaah
Nshapiga madude na akina Treyzah
Na kina Wenge man
Nishajichorea ramani
Utanifananisha na nani
Hivyo vijineno wanasemanga kwani ni watu nyani
Najua wananitamani
Wanarusha mawe guzani
Kama huwezi shindana oya ungana mambo iko huku
Nyama nyama so makange huku supu supu
Ma brother Omega oya Wiezey wametutunuku
Hatuna stress juu ya pesa inaitwa nguvu ya buku
Juhudi zimenifanya niwe zaidi yao
Nmewekwa na Mungu siogopi fitina zao
Unataka kutunzwa umekuta na mcheza kwao
Oooh oooh mwalimu wao wananiita
Ticha aaah Ticha aaah
Ticha aaah Ticha aaah
Mwanangu usikate tamaa
Mwanetu hukukata tamaa
Mwanetu hukukata tamaa
Mwanetu hukukata tamaa
Written by: Ezra Mapunda
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...