album cover
Dunia
1
Afro-Beat
Dunia è stato pubblicato il 9 agosto 2025 da Altraniq Digital come parte dell'album God's Plan
album cover
Data di uscita9 agosto 2025
EtichettaAltraniq Digital
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM87

Crediti

PERFORMING ARTISTS
AMTE FLAVOUR
AMTE FLAVOUR
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
AMTE FLAVOUR
AMTE FLAVOUR
Composer
Arnold Salvius Mtega
Arnold Salvius Mtega
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
G Boy Beats
G Boy Beats
Producer

Testi

Bush boy Amte Flavour
Aaah aaaah aaaaah
Bwooy
 
Kesho yangu siijui
Hata yako huijui
Kula kulala kwangu
Mungu baba ndo anayejua
Hivyo usilete uadui
Dharau chuki hazifai
Kupata kwa mafungu
Hivyo usichoke subiria
 
Watu wanakuja kwenye maisha
Watu wanakuja na kuondoka aah
Usiwazuie eeh usifikirie eeh
Wapo wataokuja na kuongeza
Pale walipoondoka wakapunguza
Usiwazuie eeh usifikirie
 
Kuna muda ilifikia
Nilitengwa na dunia
Baba ni wewe ulofanya nisimame
Marafiki walinikimbia
Waliniacha me nalia
machozi tele ulonifuta ni wewe
 
Aah wanafiki
Pita nao (mma we) pitanao (mma we) pita nao (mma we)
wenye roho mbaya
Pita nao (mma we) pitanao (mma we) (ooooh) pita nao (mma we)
Wavunja nazi
Pita nao (mma we) pitanao (mma we) (ooohwowoo) pita nao (mma we)
Wasonipenda wote
Pita nao (mma we) pitanao (mma we) (mmmh) pita nao (mma we)
 
 
Saizi angalau
Bwana wangu Mungu
Umenibadili jina
Nimepanda dau
Yani nimeng’aa nipo juu kwenye mlima
Sizioni dharau
Tena nipo fiti
Nimesimama wima
Hadi nishasahau
Miaka ya nyuma nilivochina
 
Yani kama gari lishawaka taa
Tuondoke tuondoke
Wote waloniblock wakanikataa
Chini kwenye matope
Nami kulipiza ndo nishakataa
Vyote vyote
Sijafunzwa ubaya roho safi
Nimejaliwa
 
Kuna muda ilifikia
Nilitengwa na dunia
Baba ni wewe ulofanya nisimame
Marafiki walinikimbia
Waliniacha me nalia
machozi tele ulonifuta ni wewe
 
Aah wanafiki
Pita nao (mma we) pitanao (mma we) pita nao (mma we)
wenye roho mbaya
Pita nao (mma we) pitanao (mma we) (ooooh) pita nao (mma we)
Wavunja nazi
Pita nao (mma we) pitanao (mma we) (ooohwowoo) pita nao (mma we)
Wasonipenda wote
Pita nao (mma we) pitanao (mma we) (mmmh) pita nao (mma we)
Written by: AMTE FLAVOUR, Arnold Salvius Mtega
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...