album cover
Lyf (Bonus)
album cover
Lyf (Bonus) è stato pubblicato il 13 agosto 2025 da CheusiDawa ENT come parte dell'album KitaaREJEX
13 agosto 2025
EtichettaCheusiDawa ENT
BPM
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

My mind is all I have
Ukinifanya nikaipoteza mie nitatokwa adabu
Wewe unaniona mie ninacheza mie ninakuona hau-vibe
Nisipokuhoji kuhusu fedha ujue ninajiona above..
Nikisema above ninamaanisha juu
Ukiita upumbavu ninajibu utaisha tu
Kwani hauoni ninavyopigana kama Baisa Blue?
Unafanya ninapambana ili kukufurahisha mkuu..
Wazandiki hawataki unaponipa shavu.. it’s alright/
Penye love ndipo ulipo life you’re so nice/
Nina shida chachechache cha ajabu we’re so tight
Umatemate.. hauniachi mkavu na future ipo so bright..
Maisha ni game.. liko wapi goli? Ni fame na top hapaachi kuwa lonely
Ni shamba.. vuna ulichopanda..
Ni benki? Hauwezi toa ambacho haujaweka.. I’m sorry
Life..
Njia ya kukufanya uwe mwepesi ni ngumu
Ya wewe kufanya niishi SIMPLE hu-complicate na haidumu
Siukwepi mziki mimi ninau-face tu humu
Njia ya Kujirefresh sio kusex kwa room
Nipatie fursa nijinafasi na watu wangu wa nguvu/ na
Sio husda na hasad za wenye kuhusudu
Niwe humble nisiwe matende mguu
I mean.. Nisiwatenge ndugu
Madeni mengi.. kukudai ninajiona spesho
Vyawa sipendi.. siwashi moto kwenye upepo
Nikikwama mitaa ya kati huvunjika mbavu
Wakati nikitaka samaki wewe hunipa nyavu
Ukinizidia siku hizi sikimbilii chupa
Ninapush tu.. sikimbilii kuvuta
Ninajua nita-push through screw screw ski skii
Kinachozeeka ni mlevi wala sio whisky
Written by: Fareed Kubanda
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...