album cover
Dent
6
Music
Dent è stato pubblicato il 15 agosto 2025 da Majestic Drop come parte dell'album Dent - Single
album cover
Data di uscita15 agosto 2025
EtichettaMajestic Drop
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM184

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Beejay
Beejay
Performer
Brandon Julian
Brandon Julian
Lead Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Beejay
Beejay
Lyrics
Brandon Julian
Brandon Julian
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
JONQUIL VIBES
JONQUIL VIBES
Producer

Testi

Ooh
Nana na na nah
Eeeh eeh
Can I hold your hand
Nimekaa darasani ninaona kama siku haziendi
Nikijaribu kusoma sifaulu ila sio kwamba sipendi
Aaah
Yeah
I wish I had a weekend
I had a weekend
Some time I could spend
No body is promised tomorrow
You wake up in the morning
Unaanza na adhabu
Baridi linapiga
Kuoga ninaona tabu
Nikifika darasani ninakuta mahesabu
Mwalimu yuko mbele anatoa majawabu
Yani nimekaa sijashika hata kitabu
Wazazi wanatumaini nami nitakua tabibu
Ila silalamiki
Maana sioni dhiki
Najua kuna watu wenye shida zaidi
So I thank God
Silalamiki
Maana sioni dhiki
Najua kuna watu wenye shida zaidi
So I thank God
It's the life of a student
Life of a student
It's the life of a student
Life of a student
Jikoni nimeenda chakula nimeshakosa
Nawauliza wapishi wanaona ninabonga
Nacheki wana macho wanapiga kona
Kinaga ubaga napambana kula ugali bila mboga
Nipate nguvu niandike nyimbo moja
Vizuri sijakaa mambo yameshanisonga
Ukifanya uzuri
Hakuna mtu anajua
Ukifanya ubaya
Kila sehemu unatrend
Hakuna marafiki wamejaa masnichi
Ukifanya uzuri
Hakuna mtu anajua
Ukifanya ubaya
Kila sehemu unatrend
Hakuna marafiki wamejaa masnichi
Sio kwamba hatujaona
Au sisi ni malofa
Ila wamejenga life la uogauoga
Tunaishia kukaa kama tumerogwa
Mara nyingi tunakosa
Ila bado tunasonga
Maisha kupambana na kujitosa
So never give up yeah
It's the life of a student
Life of a student
It's the life of a student
Life of a student
Ooh
Yeah yeah eeeh
Na na na na na nahh
It's BeeJay for real yeah yeah
Ooh
Majestic
Can I
Can I hold your hand
Majestic Drop
Written by: Bee Jay, Brandon Julian
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...