album cover
Mustafa
16
Afro-Beat
Mustafa è stato pubblicato il 25 agosto 2025 da Vibrations record lebal come parte dell'album Mustafa - Single
album cover
Data di uscita25 agosto 2025
EtichettaVibrations record lebal
LanguageEnglish
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM111

Video musicale

Video musicale

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Vibrations
Vibrations
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Black genius Shoba shoba
Black genius Shoba shoba
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
SpadeBeatz
SpadeBeatz
Engineer

Testi

Ah mustafaa ah mustafa
Kweli sisi ni watoto mustafa
Tulipewa dawa mustafaa
Tusey
Ikaja kutuadhibu bure mustafa
Shivoo
Owoohwah owaah
Owoohwah owaah
Aanh
Kushii
Shoba yeee
Balenciaga anh
Ah mustafa nakuja kwako papa
Zambi nyingi zimekabaa
Sasa ivi yaani no fine no fine no fine no fine yee
Mbona kazi kuzibiti huyo satan
Kiburi nyingi me navimbaa
Bora uzima sitaki mzigo unieremeyee
Na huu mziki kulogaa
Nisha koma sana
We fanya kazi yako
We fanya kazi yako
Sisi wana tunalia
Tunaomba msaada
Shida umaarufu na doo
Ndo zilituponza ooh
Oh mustafa oh mustafa
Call me genius balenciaga
Ivi kweli umesha nijuaa
Kuhanzia mimi hadi uko wotee
Ooh mustafa my shivoo
Najuwa sijachelewa
Yangu mizigo kali kali sana ni balaa
Ooh bhudaa shivo niweke sawa
Sifa zilinifanya nikapagawa
Nilichogundua ayana maana
Bhudah nisamehe
Oh mustafa oh mustafa
Call me genius balenciaga
Ivi kweli ulisha nijua
Kuhanzia mimi hadi ukoo wotee
Ah mustafa ah mustafa
Kweli sisi ni watoto mustafaa
Tulipewa dawa mustafa
Ikaja kutuadhibu bure mustafa
Ah mustafa ah mustafa
Kweli sisi ni watoto mustafaa
Tulipewa dawa mustafa
Ikaja kutuadhibu bure mustafa
Na huu mziki kutogaa
Nisha koma sana
We fanya kazi yako
We fanya kazi yakoo
Oh budha shivoo niweke sawa
Sifa zilinifanya nikapagawa
Oh mustafaaa
Written by: Black genius Shoba shoba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...