album cover
Moyoni
album cover
Moyoni è stato pubblicato il 15 ottobre 2025 da Zion Njeri come parte dell'album Moyoni - Single
15 ottobre 2025
EtichettaZion Njeri
LinguaEnglish
BPM96
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

Zion
Oooohhhh mmmmnnnh uuuuh uuuhh uuuh aaahh
Uuuuhh mmmhhhh
Verse 1
Wanajiuliza mbona sikuhizi niko Busy busy
Kibao kimegeuka maana walitaka waniumize umize
Maneno maneno mbona yaliujeruhi huu moyo ooohh
Kujaza watu moyoni mbona kulitaka kunitoa roho oohh
Prechorus
Siwezi kueleza Yote eeh nimemuachia maulana na nimesamehe yote eehh ili nibaki na Amani
Chorus
Mi nadelete kila kitu
Humu moyoni,Humu Moyoni
Sitaki unitese uchungu
Humu Moyoni,Humu Moyoni
Sitaki kuforci makwazo
Humu Moyoni,Humu Moyoni
Nataka Abaki Mungu tu
Humu Moyoni,Humu Moyoni
Ooohhh
Verse 2
Nimejifunza kukaa kimya nisiongee nimejifunza usalama nikuachilia
Ni Kweli inauma kusemwa vibaya na unayemuobeanga
Inauma Kusalitiwa na uliyemwamini
Nakushukuru Mungu Wangu kwa kunifungua
Nilikua sijui ila leo nimejua
Prechorus
Siwezi kueleza Yote eeh nimemuachia maulana na nimesamehe yote eehh ili nibaki na Amani
Chorus
Mi nadelete kila kitu
Humu moyoni,Humu Moyoni
Sitaki unitese uchungu
Humu Moyoni,Humu Moyoni
Sitaki kuforci makwazo
Humu Moyoni,Humu Moyoni
Nataka Abaki Mungu tu
Humu Moyoni,Humu Moyoni
Humu moyoni,Humu Moyoni(x2)
Written by: Zion Njeri
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...