album cover
Golo
album cover
Golo è stato pubblicato il 21 novembre 2025 da Black Market Records come parte dell'album Golo - Single
21 novembre 2025
EtichettaBlack Market Records
BPM120
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

Wahisemo kumbabariza roho
Ndavunika nubwo ntakubwira
Umesema kwamba hautaniaca
Nikakuskia nikakuaminia
Myaka mingi mi na wewe
kwa mapenzi ( nyabusa )
Ni amarira uuu adashira
Ona leo umeniaca umeniharibia na maisha
Lazma nikunyue pombe nimuagie
moyo mpaka kesho
Ona leo umeniaca umeniharibia
na maisha ( wowe )
Lazma nikunyue pombe nimuagie
moyo mpaka kesho
Wahisemo kumbabariza roho
Ndavunika nubwo ntakubwira
Wahisemo kujya umbabaza wowe
Ndavunika nubwo ntakubwira
Ona leo sasa
Umenisahau sana
Kila nikisema
Unajibu mabaya
Ona leo sasa
Umenisahau sana
Kila nikisema
Unajibu mabaya
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Vile ananisema eti ananipenda
Japo sina hera kesho ataolewa
Vile ananisema eti ananipenda
Japo sina hera kesho ataolewa
ila mimi bado nangangana
Mimi bado nangangana
ila mimi bado nangangana
Mimi bado nangangana
Wahisemo kumbabariza roho
Ndavunika nubwo ntakubwira
Wahisemo kujya umbabaza wowe
Ndavunika nubwo ntakubwira
Ona leo sasa
Umenisahau sana
Kila nikisema
Unajibu mabaya
Ona leo sasa
Umenisahau sana
Kila nikisema
Unajibu mabaya
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Golo
Golo
Golo
Golo
Written by: KAGAME ERIC

Loading...