album cover
Mbona (Remix)
495
Hip-Hop/Rap
Mbona (Remix) è stato pubblicato il 15 gennaio 2026 da ThirtyFourBrick Records come parte dell'album Mbona (Remix) - Single
album cover
Data di uscita15 gennaio 2026
EtichettaThirtyFourBrick Records
LinguaEnglish
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM77

Video musicale

Video musicale

Testi

Mbona nipige scene na fala hajui kudash
Mbona nipige biz na **** hapendi cash
Mbona ni lie na trap mambo vulai
Uskai deny kwa street nateka your wives
Mbona nipige scene na fala hajui kudash
Mbona nipige biz na **** hapendi cash
Mbona ni lie na trap mambo vulai
Uskai deny kwa street nateka your wives
Mbona nipige scene na fala ana breeze
Tunatokea kwako magiz
Koto ma-night na mbogi haitambui please
Chokoch nipate kwa streets
Nikikam fufua kabla ni squeeze
Class 2 nilihepa na fees
Bado kwa stu nawasha matrees
Mtaa eastlando ni home misiezi kataa
Chini ya kasoo me nime kataa
Chaji wa uduu nazima mataa
Niwai kwa stu kila saa
Vako zangu chini ya maji kama tu paa
Aladdin codede inafanya nipaa
Kaa sina doh me siezi kaa
Nakunga msafi clean sabuni
Kisauni nikona wahuni
Watakuosha kushinda sabuni
Popcaan mbogi yangu unrully
Mali ni safi inafanya kastadi arudi
Juu ya bugizi niko binguni
Na sipendi wakilia uchumi
Mboka iko on saa kumi
Mbona nipige scene na fala hajui kudash
Mbona nipige biz na **** hapendi cash
Mbona ni lie na trap mambo vulai
Uskai deny kwa street nateka your wives
Mbona nipige scene na fala hajui kudash (Aje?)
Mbona nipige biz na **** hapendi cash
Mbona ni lie na trap mambo vulai
Uskai deny kwa street nateka your wives
Mbona nipige scene na fala hajui
Mbona nipige biz na **** hapendi
Mbona ni lie na trap mambo
Uskai deny kwa street nateka
Written by: Only Moh, Un Clean
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...