album cover
Wadaima
114.399
Afro-Beat
Wadaima è stato pubblicato il 12 gennaio 2026 da 9244443 Records DK come parte dell'album Wadaima - Single
album cover
Più popolari
Ultimi 7 giorni
00:55 - 01:00
Wadaima è stata scoperta più frequentemente a circa 55 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata
00:00
00:05
00:20
00:25
00:55
01:00
01:10
01:20
01:25
01:35
01:40
01:55
02:20
02:35
02:45
03:15
00:00
03:26

Video musicale

Video musicale

Testi

[Intro]
Farasi
Udede
[Verse 1]
Ona
Naingiwa na uoga uoga
Naogopa
Kumwambia yanayonisibu moyoni
Ishara zote nimezionyesha kwake
Haoni naogopa asa akiniangalia machoni
[Verse 2]
Kumpenda nampenda ila sijui kama naye ananipenda
Ombi langu atakubali ama ataishia tu kuninyari
Kumpenda nampenda ila sijui kama naye ananipenda
Ombi langu atakubali ama ataishia tu kuninyari jamani
[PreChorus]
Kwangu mapenzi me ni faraja
Sitamani aje awe daraja
Kwangu mapenzi me ni faraja
Sitamani aje awe daraja
[Chorus]
Wa daima eh eh wa daima uh uh
Wa daima eh eh
Aje kuwa wa daima eh eh
Wa daima uh uh wa daima eh eh
[Verse 3]
Nishatumia mbinu za kupeleka vikaratasi
Mbinu zangu zikaonekana zina ukakasi
Nishatumia mbinu anazotumianga farasi
Nishatumia fedha nyingi ili nipate nafasi
[Verse 4]
Kiukweli kumpenda nampenda ila sijui kama naye ananipenda
Ombi langu atakubali ama ataishia tu kuninyari
Kumpenda nampenda ila sijui kama naye ananipenda
Ombi langu atakubali ama ataishia tu kuninyari jamani
[PreChorus]
Kwangu mapenzi me ni faraja
Sitamani aje awe daraja
Kwangu mapenzi me ni faraja
Sitamani aje awe daraja
[Chorus]
Wa daima eh eh wa daima uh uh
Wa daima eh eh
Aje kuwa wa daima eh eh
Wa daima uh uh wa daima eh eh
[Outro]
Farasi
Kwangu mapenzi me ni faraja
Written by: Udede Mwanenu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...