album cover
Mitano
album cover
00:00
00:10
00:20
00:45
01:20
01:35
01:40
01:50
02:10
02:15
02:20
02:30
02:35
02:45
03:00
00:00
03:13
Ultimi 7 giorni
Mitano è stata scoperta più frequentemente a circa 10 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata

Video musicale

Video musicale

Testi

[Verse 1]
Hapa kilichobaki kutafuta tu hela hela hela
Kuhusu malavidavi kama akhera akhera
Hapa kilichobaki kutafuta tu ndinga kali niwavimbie
Kuhusu malavidavi hii level chafu baby
Ukishapata kizuri ndio utajua kibaya kibaya
Ukishapata bora ndio utajua mbaya mbovu chafu hiyo
Ukishapata mzuri ndio utajua mbaya sura mbaya
Ila mimi hapa nishajua sitopata kuliko wewe
[PreChorus]
Omalicha licha
Penzi lako ndio linanishawishi miaka buku tisa
Kama moyo nchi nakuachia wewe
[Chorus]
Mitano tena
Yote nakupa wewe, unitawale mitano tena
Chukua jimbo, kijiji, visiwa na nchi yote mitano tena
Oooh my baby mitano tena
Uuuuuh huna mpinzani
[Verse 2]
Funguo ishapata kitasa
We ni wangu maishani
Niliyekuwa nataka
Alafu baby waambie tell them
Mi kwako nipo kwa muda gani
Ili wajue kutofautisha
Tunaenda taratibu tu, usiniumize hata kiutani utani
Fanya wajue do me do me do me do me
[PreChorus]
Omalicha licha
Penzi lako ndo linanishawishi miaka buku tisa
Wala sifikirii kukucheat
Nafunga moyo, mi naziba macho, mi sitaki hata kutamani
Bora uchoyo tu ukiwa nacho
Maana kukitafuta kazi
[Chorus]
Mitano tena
Nakupa wewe uendelee mpenzi mitano tena
Kama moyo nchi nakuachia wewe mitano tena
Mitano tena oh yeah yeah
Mitano tena
Eeeh my baby my baby
Written by: Jimmy Edson Myovela, Omary Ally Mwanga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...