album cover
24 7
album cover
24 7 è stato pubblicato il 14 febbraio 2026 da Independent come parte dell'album Love Frequencies - EP
Released14 febbraio 2026
EtichettaIndependent
BPM93
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

Sugar
 
Mbali siwezi kwenda
Tupo wote 24/7
Ulivyo nakupenda
Muda wote 24/7
Wewe kwangu kama maji jangwani
Nikuache wewe nitampenda nani
Nikiwa nawe napata amani
Weewe
Ata dakika sitaki ubaki mwenyewe
Bado nakupenda weee
Napata ugumu kuishi bila ya wewe
Ya wewe eeeh
Ona ngumu kuishi mwenyewe siwezi
Nyingi baridi bila wewe mpenzi
Ona ngumu kuishi mwenyewe siwezi
Ohh siwezi yeeh
Ona ngumu kuishi mwenyewe siwezi
Nyingi baridi bila wewe mpenzi
Ona ngumu kuishi mwenyewe siwezi
Ohh siwezi yeeh
Gyal you sweet pass sugar
And when you do like that
Sugar yeeeh
Usiniambie eti we mkubwa
Huku deep down
You want sugar
Njoo tu shee
Nipe sababu kwanini unasema NO
imekuwa tabu
Kwanini uniumize roho
Ata dakika sitaki ubaki mwenyewe
Bado nakupenda weee
Napata ugumu kuishi bila ya wewe
Ya wewe eeeh
Ona ngumu kuishi mwenyewe siwezi
Nyingi baridi bila wewe mpenzi
Ona ngumu kuishi mwenyewe siwezi
Ohh siwezi yeeh
Ona ngumu kuishi mwenyewe siwezi
Nyingi baridi bila wewe mpenzi
Ona ngumu kuishi mwenyewe siwezi
Ohh siwezi yeeh
Written by: Vii Sugar Boy, Zungu Beatz
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...