album cover
Juu
64
Afro-Beat
Juu è stato pubblicato il 22 febbraio 2026 da Zama Records, Villaggio Media, Ksound come parte dell'album Urizi
album cover
AlbumUrizi
Data di uscita22 febbraio 2026
EtichettaZama Records, Villaggio Media, Ksound
LinguaFrancese
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM190

Video musicale

Video musicale

Testi

(ah iyeye en han ! Nemisi ye nyanya aaaaa ahaaa
ah iyeye en han ! Nemisi ye nyanya aaaaa ahaaa )
Baba mungu na kuja tena
Na Omba uni sikiye tena
Uni bariki Niki ingiya naku toka
Misha niku pata naku kosa ! ila
Uni bariki niki umba uni patiye
Île uta fanya namimi ni shuhudiye !
 mikono Iko juu baba yetu
 Weye shusha baraka
 Si tuta pokeya yeleleeehe !
mikono Iko juu baba yetu
Weye shusha baraka
 Si tuta pokeya yeleleeehe !
Kila kulamuka mina waza pesa ila nani wangu ata Nipa yo !
Mateso yangu shida zangu nani ata zi beba
Mwana damu Nili tumaink kisha mwisho aka ni angusha eh !
Mengi Nina pitiya na vumiliya
We useme neno !
Usi ni ache baba ili wao wani cheke !
Uni shike mkono zile zile njiya Zako ndo na penda ni uni peleke
Uni shike mkono zile zile njiya Zako ndo na penda ni uni peleke
 mikono Iko juu baba yetu
 Weye shusha baraka
 Si tuta pokeya yeleleeehe !
mikono Iko juu baba yetu
Weye shusha baraka
 Si tuta pokeya yeleleeehe !
ah iyeye en han ! Nemisi ye nyanya aaaaa ahaaa
ah iyeye en han ! Nemisi ye nyanya aaaaa ahaaa
Written by: Ampire Babone Ovain
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...