album cover
Mama
album cover
00:00
00:05
02:25
00:00
02:44
Ultimi 7 giorni
Mama è stata scoperta più frequentemente nei primi secondi di la canzone durante la settimana passata

Testi

I miss you, mama
Heh
Leo naitwa yatima, mnyonge
Nimeshakumiss wangu mama
Umeondoka kipindi ambacho
Mwanao nakuhitaji sana
Nimemiss ule upendo wa dhati
Uliokuwa ukinipatia mama
Kwenye baridi unanisogeza
Na unanikumbatia, mmh
Radi ikichapa nakimbiliaga
Mapajani kwa mama
Sasa umeondoka mwanao
Mimi nitabaki na nani?
Ona mama, kama ingetolewa fursa
Urudi ningetoa roho yangu
Ona mwanao nateseka
Sina wa kuniita mwanangu
Nalia kwa huzuni
Wenzangu wanacheka na mama
Nalia kwa hisia
Wenzangu wanaruka na mama
Aiee mama, aiee mama
Aiee mama, aiee maama
Mmm Aiee mama, aiee mama
Aiee mama, mmmmhh maama
Mama miezi tisa ulinibeba
Tumboni ukaning'ang'ania
Baba mzazi alikutesa
Kisa mimba ukavumilia
Watu kibao walikubeza
Walikucheka hukujali pia
Ona sasa umeniacha
Nateseka nakulilia
Kama ingetolewa fursa
Urudi ningetoa roho yangu
Ona mwanao nateseka
Sina wa kuniita mwanangu
Nalia kwa huzuni
Wenzangu wanacheka na mama
Nalia kwa hisia
Wenzangu wanaruka na mama
Aiee mama, aiee mama
Aiee mama, aiee maama
MmmmAiee mama, aiee mama
Aiee mama, mmmhh maama
I'm Tiffa Devoice
Na Baba Feisali
Mapozi Familia
Broza Jaymoney
I miss you, mama
Written by: Adamu Salumu Mshamu, Ratifa Raphaeli Chikonga, Yusuph Juma Abdallah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...