album cover
Bikini
album cover
Bikini è stato pubblicato il 20 marzo 2026 da ThirtyFourBrick Records come parte dell'album Bikini - Single
20 marzo 2026
EtichettaThirtyFourBrick Records
BPM77
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

Huku mtaa kuna kuanga na vipindi
Za kabaridi
Mrazi Kila kitu ili zidii
Tulifanya mbaka aka ingizia baridi
Na street ime ni funza vitu mingi
Hakuna ku doz ka hakuna chingri
Ina kuanga kosa kutoboa siri
Daily nipate gut ka ora firi
Hii si dufu mpararo
Kila msupa ame vaa bikini
Najua mziki
Ita ni letea riziki
Ndio mana niko stu naekelea kazi
Kaa we ni G
Haufai kubonga sana
Hii pande ni red zone ka rounda
Kwa shughli nimekaza anaku ku dunda
Kila saa kwa biz unapigwa kiboko na we si punda
Afande aki ni saksua hawezi pata ki gunga
Ati wanadai siku ya mwizi ni arobaini
Lakini siku yangu ni january
Huku ghetto hakuna gym
Niku beba tu simiti
Ki reingfo ni clean haina vijiti
Leta kiberiti
Kuchoka balaa tuseme mi ni machini
Sidai kurudi chini
Mi nafuata dhini
Hadi useme nini
Mi sibadiliki
Hakuna u-charjie masaa ya kusaka paper
Warazi na vurugu on repeat
Kuziwasha on repeat
Mi si mnyonge siezi retreat
Mi si nyoka but mirista na spit
Sipigi vitu imbo na piga vitu legit
Huku mtaa kuna kuanga na vipindi
Za kabaridi
Mrazi Kila kitu ili zidii
Tulifanya mbaka aka ingizia baridi
Na street ime ni funza vitu mingi
Hakuna ku doz ka hakuna chingri
Ina kuanga kosa kutoboa siri
Daily nipate gut ka ora firi
Hii si dufu mpararo
Kila msupa ame vaa bikini
Written by: Jay- Lo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...