album cover
AmeTiki
album cover
AmeTiki è stato pubblicato il 3 aprile 2026 da NyaC Prod. come parte dell'album AmeTiki - Single
3 aprile 2026
EtichettaNyaC Prod.
LinguaEnglish
BPM127
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

Show me the way, show me the way, take me derrr
Dume ni kazi achilia asira umbwa wee
Weye si ule say, weye si ule say
Kesho na wapi?
Na tumbo usha born, we shindia mademu ulowe
Siotu weekend kila siku party
Mademu wale wale si birika ao pasi
Unayumba yumba mbure ka' upepo wa nazi
Uta kuja kufa bure alie mama mzazi
Aaioyoyo
Uta filisika
Aiyo iyo
Kuchafulika
Una ponza moyo
Ndo uta ridhika?
No roho
Kudharaulika
Tatizo moyo
Chandaruwa weka kuta ikibidi ubane mpaka kucha
Akigia una kufa na pona unanza kuruka
Yani wee
Ametikiiiii
Ametiki
Ametiki Ametikiiiii
Ametiki
Tu est comme les cochon
Divyo ulivyoo
Tu est comme la vache
Ivo ivo
Nikisema laju
Laju
Laju mama Laju
Siotu weekend kila siku party
Mademu wale wale si birika ao pasi
Unayumba yumba mbure ka' upepo wa nazi
Uta kuja kufa bure alie mama mzazi
Aaioyoyo
Uta filisika
Aiyo iyo
Kuchafulika
Una ponza moyo
Ndo uta ridhika?
No roho
Kudharaulika
Tatizo moyo
Chandaruwa weka kuta ikibidi ubane mpaka kucha
Akigia una kufa na pona unanza kuruka
Yani wee
Ametikiiiii
Ametiki
Ametiki Ametikiiiii
Ametiki
Written by: Busime Mustafa Mulemangabo

Loading...