album cover
Ha-He
album cover
Ha-He è stato pubblicato il 2 ottobre 2009 da Akwaaba Music come parte dell'album 82
Album82
2 ottobre 2009
EtichettaAkwaaba Music
LinguaEnglish
BPM116
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

[Verse 1]
Ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare
Mi si mnati, si babi, niko tu katikati
Staki kuskiza story za charity, charity
Nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity
Sema oh oh
[Chorus]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
[Verse 2]
Serikali haijali
So naona mbwa kali afadhali
Dame amejam juu dough haikam
Na siwezi kum-show ati life ni exam juu
Ntatupiwa sufuria
Na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi
So nikikupita tao, tao
Jua sio madharau-rau
[Chorus]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
[Verse 3]
nipe nafasi nikueleze kiasi
Vile sisi hufanya, pande hii ya the tracks
Hatuchezi na kazi usipoteze wakati
Tumekunja mashati
[Chorus]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
[Chorus]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
[Verse 4]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
[Chorus]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
[Chorus]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
[Chorus]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
Written by: Bildad Sellanga Ochieng
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...