album cover
Embargo
5431
Worldwide
Embargo è stato pubblicato il 1 gennaio 1998 da Mondo Melodia come parte dell'album Ya...
album cover
AlbumYa...
Data di uscita1 gennaio 1998
EtichettaMondo Melodia
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM87

Crediti

Testi

Leo nasaili
Ju mimi sikuelewa mambo yale
Unasema embargo
Ni njiya ya kuleta amani kwangu
Kwa vile naona
Ni watu wanahangayika bure
Unisamehe sana
Ju mimi sione uzuri wake
Bwana mukubwa
Uje inazimiya
Watu wanakufa na njala
Wanatesera
Inci inazimiya
Inakosa dawa na cakula
Ni amani gani
Inaleta njala na maladi
Bwana mukubwa
Uje inazimiya
Watu wanakufa na njala
Wanatesera
Written by: Khadja Nin, Nicolas Fiszman
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...