album cover
Uhuru
99
Christian & Gospel
Uhuru è stato pubblicato il 22 aprile 2026 da 1160888 Records DK come parte dell'album Uhuru Ep - EP
album cover
Data di uscita22 aprile 2026
Etichetta1160888 Records DK
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM75

Video musicale

Video musicale

Testi

Nguvu za shetani
Zimeshindwa shindwa
Bwana yesu kakanyaga kichwa
Kichwa cha shetani
Nguvu zako siko wapi sasa
Dhambi, mauti
Nguvu zako zikowapi
Sasa
Nimepata uhuru, uhuru, uhuru
Nimepata amani amani amani
Nimepata uhuru, uhuru, uhuru
Nimepata amani amani amani
Ame zinyanganya funguo
Funguo za mamlaka
Shetani na jeshi lake
Hawana nguvu tena
Nikiita jina lake
Mapepo yatoroka
Eh eh eh
Bwana unanguvu
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Eh eh ubarikiwe
Eh eh uinuliwe
Eh eh uabudiwe
Eh eh ubarikiwe
Eh eh ubarikiwe
Eh eh uinuliwe
Eh eh uabudiwe
Eh eh ubarikiwe
Eh eh ubarikiwe
Eh eh uinuliwe
Eh eh uabudiwe
Eh eh ubarikiwe
Nimepata uhuru, uhuru, uhuru
Nimepata amani amani amani
Nimepata uhuru, uhuru, uhuru
Nimepata amani amani amani
Written by: Ezekiel John
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...