album cover
AYE
album cover
00:00
00:10
00:15
00:20
00:30
00:40
00:50
01:10
01:15
01:30
01:40
01:50
01:55
02:00
00:00
02:10
Ultimi 7 giorni
AYE è stata scoperta più frequentemente nei primi secondi di la canzone durante la settimana passata

Testi

[Intro]
Enheee
Naitwa Zuchu Zuhura
Kiboko ya vigagula
Nakalisha vikaptula
Nawafanya kama sungura
Very good
[Verse 1]
Bebe, shika huko
Hapo hapo hapo
Uya, uyayo iyaa, iyayooo
Bebe, shika huko
Hapo hapo hapo
Uya, uyayo iyaa, iyayooo
Eh ambuli chi chi chi eh
Ambuli cha cha cha eh
Hamnishikikii eh
Nimewachapa chapa eh
Chapa chapa chapa, cha cha cha
Aayaa twende
[Chorus]
Kibiriti akitingishiki huwezi kunibania riziki
Ankali sitoi kiki na level zangu hufiki
Tulia, wewe, sikiliza oyaaa
Ayeeee ayeeee
Aoooooo aooo
Ayeeee ayeee
Aoooooo aoooooo
Iyayo uyayo iyayo
[Verse 2]
Filter kibao nyodo za nini asa
Mtu mwenyewe kumbe AI ebu toka apa
Haina kikao kinyago kigwasa
Ukileta mdomo mdomo
Nakupiga mimbata
Nakuchukia nakuchukia
Nakuchukia nakuchukia
Nakuchukia nakuchukia
Ebu toka apaa
[Chorus]
Kibiriti hakitingishiki huwezi kunibania riziki
Ankali sitoi kiki na level zangu hufiki
Tulia, wewe, sikiliza oyaaa
Ayeeee ayeeee
Aoooooo aooo
Ayeeee ayeee
Aoooooo aoooo
[Outro]
Kibiriti cha cha chuma
Cha bati kimeungua
Kibiriti cha cha chuma
Cha bati kimeungua
Very what?
Very good
Written by: Zuhura Othman Soud

Loading...