album cover
40 Bars
544
Hip-Hop/Rap
40 Bars è stato pubblicato il 26 giugno 2026 da So Famous Entertainment come parte dell'album 40 Bars - Single
album cover
Più popolari
Ultimi 7 giorni
00:15 - 00:20
40 Bars è stata scoperta più frequentemente a circa 15 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata
00:00
00:10
00:15
00:35
01:00
01:20
01:25
01:35
01:45
02:00
02:05
02:10
02:50
00:00
02:56

Video musicale

Video musicale

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Jay Moe
Jay Moe
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Juma Mohamed Mchopanga
Juma Mohamed Mchopanga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Black Ninjah
Black Ninjah
Producer

Testi

(Intro):
Jay to the...
The best rapper alive..
\"BBC once again\"
...Again & Again
Verse 1:
Comin of age kama Sugu...
Find me on stage 05 kama Fubu..
Jay mjomba nishai..wana tubu...
Cos fani na hii game nnachoidai wanavyodai, wana hesabu
26, sijavimba kichwa wala macho
Siwezi kuficha nkiwa sina kitu, ila naweza ficha nkiwa nacho
..Na bado nakatisha kila chocho,
im the same ol..Jay Moe!!
Swaga, sneaker juu kipara ngoto
Kata K kama kawa hadi siku naingia dodoma
Jay awe chawa? Bora niende nikalime tunduma
We ndani ya bimma, me napanda fursa za kiutu uzima
Shalo tina, usione nakunywa coka na kala pina
Usifanye mziki ukale utalala na njaa kitaa
Bongo ustar bure, ikiisha biashara unakuwa kichaa
....Na sifa haziwezi faulisha ukanunua dagaa
Wanaokucheka walikuvimbisha kichwa unavyokuwa unang\'aa
..Nyota imezima, chawa wanapata kama hawakujui
Meno tena hawakenui, Si wameona tena hausumbui
Ukienda bar, vizinga hukosi, bia hununui..
Oh karma is a bitch, hakuna mzushi hilo halijui
Mjini shule ndo maana wengi mjini wana feli
..Na somo la umashuhuri waliofaulu mjini wana zali
Me nawaza mbali..Sio nionekane mjini nna mali
Au niko Amell..Hennessy mezani kesho chali
Imma keep it lowkey, Fuck the sportlights
Triple OG nipo kabla ya Twitter,FB na Insta
Sijisfii, Im the best, cos im better than that
Mcee? nah im bigger than that,
..Kioo cha jamii? So u figure it out
Mia mbili,tatu hazinishindi sio msanii kapuku
Na aliyekata ringi, anamcheka legend hana hata buku
Ukongwe unaitwa zilipendwa na waonyoa viduku
Na wavaa vikuku ndo wanaopendwa, ndo wanaopewa ruzuku
Kwenye game ya kujuana sijali wakijifanya hawanijui
Cos the industry **** ain\'t friends, wana ndo maadui..
Ndo maana nnachokiona akinishtui..
But i mind my business, as long as hawafanyi nishindwe kuchoma asubuhi
Not for the top 3, 5 wala 10
Bila fees, me naspit these bars for the fans
Sina pozi, vina ndo show, star kwenye game
Naiwakilisha mitaa kwenye Fm..
Thats why im not the same...
Moe!!
Superman.
Written by: Juma Mohamed Mchopanga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...