album cover
Mzigo
508
Hip-Hop/Rap
Mzigo è stato pubblicato il 21 agosto 2026 da Wanangu99 come parte dell'album Mzigo - Single
album cover
Più popolari
Ultimi 7 giorni
00:10 - 00:15
Mzigo è stata scoperta più frequentemente a circa 10 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata
00:00
00:15
00:25
00:30
00:50
01:05
01:20
01:30
01:40
01:55
02:40
00:00
02:50

Video musicale

Video musicale

Testi

M F O Y
99 till i Die
Gachi!
“Never stop dreaming”
Maneno yaliyoko kwenye poster iliyoko ukutani,
Pembeni ya saa, inasomeka 12 jioni
Rochi kwenye ash-tray, moshi dirishani
Ninaongea na simu, oya Bysa samahani
Naomba niachie boda nikimbize leo kitaani
Sina hata mia na nauguza maskani
Usiogope nitakuachia liteni flani
Nitatia na wese ndo niirudishe kitaani
Bysa akaniambia poa ibuka maskani
Nkaenda nikaichukua chuma nikakamata lami
Ring ring ring ring huyu tena nani?
Ahh ni mchizi mmoja yuko msasani
Tumekutana juzi nkiwa nakimbiza deiwaka
Alinirusha nimfatie demu Vatican
Leo kanicheki kuna mzigo kaufate muhimbili, nenda kaupeleke magomeni kanisani
Vruum vruuum vruum mpaka muhimbili niko sharp
Vruum vruum vruum mpaka muhimbili nika stop
Wakunikabidhi mzigo nikamcheki akaniambia sogea hapa mochwari, chap
Nikasogea,
Mwili unaanza kuniingia baridi kadri najiongea
Akaniambia, zunguka nyuma ya jengo fasta, Utaningojea
Akatokea,
Dumu mbili lita 5 kaniletea
Nkamuuliza, hii ni nini??
Akacheka, akaongea
Ndugu zako waliolala humo ndani ya friza hayo maji ndo yametumika kuwaoshea
Kuwa makini na walinzi wasijue ulikotokea
Haya ongoza njia, wazungu wanasema “take care”
Ngoja kwanza usiende manigga huu mzigo wenu mhh mhh
Kama vipi iteni mwingine apeleke mimi Mhh mhh
Nikapiga simu kwa alienituma akaniambia,
Nina 200k nkiufikisha mzigo, nkawaza niiache?? Mh! Mhh mhh
It’s all about the paper bro, hustle
Usikubali wakacheza na asshole
Nikamuuliza alieniletea mzigo sorry bro
Haya maji siri nini? What for??
Bro alivyo psycho kanichana black and white
Haya maji baba ni ulimbo
Mteja atajikokota mbweni mpaka hata masaki
Na kesho atarudi itakua hamna pakupaki
Wait wait wait wait what.. ???
Inamaana wanatumia haya maji kupikia chakula? Shiiiiiiit!
Insanity
Mitazamo inavyoshape our reality
Unakutana na watu wanalala grave yard
We umekazana na quality over quantity
Na bro anaeziosha izo maiti yuko nazo day and night
Akicheki hazioni dead bodies anaona profit
Sanaa ya kuziona noma kama opportunities
Nkazibeba dumu nkachapa mbele ya security
Gachi na Mfoy it’s a banger
Written by: Cosmas Paul Mfoy
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...