album cover
Raha
album cover
00:05
00:20
00:35
02:05
00:00
03:17
Ultimi 7 giorni
Raha è stata scoperta più frequentemente a circa 20 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata

Video musicale

Video musicale

Testi

Konjah tz
Raha
Yani huyu
Whole night kwa njozi ni yeve
Kila saa natamani kuwa nae yeye
Ukweli mi siwezi ishi bila yeye
Hisia zangu zote kazishika yeye
Akitoka mama namba mbili Yeye
Shaidi mola kila kitu changu chake yeye
Kwenye joto ananipepea
Hata moyo wake veye kanipatia
Mi ndo king Yeye ndo wangu malkia Yeye
Kwenye joto nampepea akitaka moyo wangu nitampatia
Mimi ndo king Yeye wangu malkia Yeye
Yani raha raha
Ahaa
Ananipa raha
Yani raha raha
Yeye
Yani raha raha
Ahaa
Ananipa raha
Yani raha raha
Yeye
Kuna muda nahisi uoga
Nakupenda ama umeniroga
Baby babe
Ona wewe umenijaa moyoni
Wengine mbona siwaoni
Kama macho ndo zangu mboni
Lazizi
Penzi letu hadi peponi
Tafadhari usiweke lehani
Moyo wangu unao mikononi wewe
Oh yeah
Kwenye joto ananipepea
Hata moyo wake veye kanipatia
Mi ndo king Yeye ndo wangu malkia Yeye
Kwenye joto nampepea akitaka moyo wangu nitampatia
Mimi ndo king Yeye wangu malkia Yeye
Yani raha raha
Ahaa
Ananipa raha
Yani raha raha
Yeye
Yani raha raha
Ahaa
Ananipa raha
Yani raha raha
Yeye
Written by: Konja boy Tz
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...