album cover
TOP
album cover

Video musicale

Video musicale

Testi

Mih ni wa hood,mih si hood hero
Nimetulia tu ni kaa nashoot b-roll
Sionyeshi mbling,wanadai nimeloose kilo
Sdai kucheza low-key but nadai kuboost eco
Noma ni,siezi reduce ego
Juu ngoma ikijipa siezi refuse hii doh
Use kiki bado ukijua huskiki tutacheki whose kicking
Dakika ya 90 through kickoff
Mapema,scene ni chafu evil times
Sunda beat Moja Moja niwatware medieval times
Haina haja ya live my guy kujia lyrical kifo live
Na izi drums zko Kwa beat ztanijenga keys for life
Vyoi vyoi guys,mnaeza post hype
Lakini jueni rapper wenu anahitaji ghostrhymes
Uyu ni mello post crime,skuizi joh sipost glide
Kaa si BTC utanipata offline
Ati mbona schani gut,namshow spendi kutema kitu kaa si bars
Na spendi wa kuchatty chat,wako taki ya kuyap so hatutaki yap
Nkona machaji wako charged up,kaa ni riang ikue on ya kidabu hatutaki lap
Hapigagi rap ye ni stra tu Kwa beat akiwashow mmebeat nkama atakula kibeating anahitaji nap
Top rapper,top plugger,top scammer
Unanijua kweli,hunjui sema tu ukweli
Liar,liar na Malaya halipwi fiti izi area
Ni ule mnisaa mgyala wako amesunda nyuma ya jegi
Kumkulia vako kutoka apo zako hapendi
Mih ni Ile Monday after weekend ya sherehe
kuwachosha lazima mamwere hawanipendi
Top rapper,top plugger,top scammer
Unanijua kweli,hunjui sema tu ukweli
Liar,liar na Malaya halipwi fiti izi area
Ni ule mnisaa mgyala wako amesunda nyuma ya jegi
Kumkulia vako kutoka apo zako hapendi
Mih ni Ile Monday after weekend ya sherehe
kuwachosha lazima mamwere hawanipendi
Kwanza sort hio pending bill
Nlikushow joh ni worth it hii ni expensive skill
Unaeza amua bado uingie spending spree
Jordo kuoshwa Kwa katape fika 23
By 24 nadai kua MVP
Top 25 Kwa izo mp3
Sita ni mbili big up Met
Tisa mara tatu tu ashaenda Kwa FEDS
Cheki,check the boy
Mr officer why inspect the boy
Huoni mbota amedunga inareflect the boy
Akikushow ye ndo the man then respect the boy
May the money come like weather niwangore kiufloyd
Mih ni mnyama na my plans utry kufoil aje
Kwa beat nakulima itabidi joh umetoil
So kaa ni kuoshwa sit back and enjoy
Top rapper,top plugger,top scammer
Unanijua kweli,hunjui sema tu ukweli
Liar,liar na Malaya halipwi fiti izi area
Ni ule mnisaa mgyala wako amesunda nyuma ya jegi
Kumkulia vako kutoka apo zako hapendi
Mih ni Ile Monday after weekend ya sherehe
kuwachosha lazima mamwere hawanipendi
Top rapper,top plugger,top scammer
Unanijua kweli,hunjui sema tu ukweli
Liar,liar na Malaya halipwi fiti izi area
Ni ule mnisaa mgyala wako amesunda nyuma ya jegi
Kumkulia vako kutoka apo zako hapendi
Mih ni Ile Monday after weekend ya sherehe
kuwachosha lazima mamwere hawanipendi
Written by: Morgan Macharia Munyagia
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...