album cover
Party
album cover
Party è stato pubblicato il 2 ottobre 2026 da Jungle Gang come parte dell'album Party - Single
2 ottobre 2026
EtichettaJungle Gang
LinguaEnglish
BPM
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

It’s bongo drill to the world
s2kizzy baby
Leo tuna party Leo tuna party
Leo tuna party Leo tuna yah yah
Leo tuna party Leo tuna party
Leo tuna party Leo tuna yah yah
Party ya Leo ni kama new year wanangu
Tuagize baruti
Tutachoma nyama usiku
Tukanunue mbuzi vingunguti
Muite amber lulu muite gigy money
Huyo pipy tida angenyuti
Uchebe asizogeze pua asije kupiga
Mademu vifuti
Kamati ya vinywaji eeh
Yuko Chidy benz mzee
Je tukimpa pesa
Ataleta chenji mzee
Ili party inoge
Tumuiteni chibu dangote
Mchawi ni mendez
Na sisi hatuna chochote
Ongea na Jux
Aliete wapopo vinanda
Vunja bei asije hapa
Aisije kuwaonga pamba
Sitaki zipotee simu
Wala muibiwe mikwanja
Ndio maana kwenye party yetu
Hakuna makabila
Shoro mwamba
Leo tuna party Leo tuna party
Leo tuna party Leo tuna yah yah
Leo tuna party Leo tuna party
Leo tuna party Leo tuna yah yah
Nilitamani red carpet
Ili mchawi ni budget
Tutachanganya makonyagi na coca
Hakuna hela ya Hennessy
Ingekuja fall ipupa band
Ila tuna budget ya nyoshi
Makomedi mko wengi musije
Viti vyetu havitoshi
Asije tembo wala mbuzi
Mambo yote yapo huku
Kiingilio laki uje kuona
Collabo ya nandy na Zuchu
Zije online Tv na watu wote wa udaku
Ili munihoji mimi tu
Musimuhoji mwijaku
Peter msechu asije
Atatumalizia kuku
Bongo movie wanachat sana
Watatumalizia luku
Ukitaka bia utajilipia
Hakuna vitu vya dezo
Bango kubwa hatutaki chawa
Musije na baba levo
Leo tuna party Leo tuna party
Leo tuna party Leo tuna yah yah
Leo tuna party Leo tuna party
Leo tuna party Leo tuna yah yah
Written by: Sanja Kong
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...