album cover

Nitafanyaje

1824Afro-Pop2026
album cover
00:00
00:05
00:15
00:30
00:50
01:05
01:20
01:30
01:35
01:45
03:55
00:00
04:28
Ultimi 7 giorni
Nitafanyaje è stata scoperta più frequentemente a circa 50 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata

Testi

[Intro]
This is Hendrick Sam
[Chorus]
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Ukiniwacha, ni mi nitabant wa kwanza
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Tukiwachana, ni mi nitabant wa kwanza
[Verse 1]
Wajameni aki ya nani kimeniramba
Wameniibia msichana
Wanaume kadhaa wa kadhaa
Wamejazana ndani ya DM
Sijui ni nini ilinifanya
Nikasoma hizo matext
Na vile nakuanga nimemuaminianga
I don't ever wanna love again
[Verse 2]
Inauma, inauma
Hizo mapicha ulituma
Kwa simu nilinunua
Za mbele na nyuma
Inauma, inauma
Hizo mapicha ulituma
Kwa simu nilinunua
Hadi mpaka za ku—
[Chorus]
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Ukiniwacha, ni mi nitabant wa kwanza
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Tukiwachana, ni mi nitabant wa kwanza
[Verse 3]
You see stress inanipiga bila we sina
Nguvu za kiume sina hata energy
Na kama hii ni test usiwahi nipima
Please niambie before I erase memories
Taking a walk, siezi stop nakuwaza, ma
Uliniblock na ni wewe ulinikosea
Situation is rocky, abebi na
And you know how your love iliniingia
[Verse 4]
Moyo hadi maini
Ahh, nikupate wapi?
Nifanye nini?
Ama nililaaniwa mapenzi inakuja ikienda
Naskia ushampata mwingine, lo, lo, lo, lo
Ah, vitunguu siezi hata kata
Ukiamua kurudi ni sawa
Picha zako nimeshika kwa shower
[Chorus]
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Ukiniwacha, ni mi nitabant wa kwanza
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Tukiwachana, ni mi nitabant wa kwanza
[Outro]
Kiri wea
Kiri wea
Ki wea, akuyo nyaduse
Kiri wea
Kiri wea
Ki wea, akuyo nyaduse
Kiri wea
Kiri wea
Ki wea, akuyo nyaduse
Kiri wea
Kiri wea
Ki wea, akuyo nyaduse
Written by: Hendrick Sam, Ywaya Eugine Simon

Footer Shazam

Seleziona lingua:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Seguici

Loading...