album cover
Azuma
album cover
Azuma è stato pubblicato il 15 ottobre 2026 da SixxtuneAfrica come parte dell'album Azuma - Single
Data di uscita15 ottobre 2026
EtichettaSixxtuneAfrica
BPM111
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

Ucho Gun
Anatua huruma sana anatia huruma
Anatia huruma sanaaa anatia eeh huruma
Alizani kajipata kazima WiFi kawasha data
Kaamia sinza anatukana tabata mataka yakalia mbwata

Eeeh
alisema anaenjoy maisha mapombe mitungi na shisha na wala apangiwi maisha wala muda wa kulala eeh
Anapost anaenjoy maisha mapombe mitungi na shisha caption apangiwi maisha wala muda wa kulala eeh
Sialidhani amenikomoa alivyo niacha sasa mambo nga’ri ng’arii
Ushamba wa kuchukulia poa kupenda hanasa sasa kipo Wapi chaliii
Anakunywa sana Azuma eeeh eeeh Azuma muda wote kajilaza Azuma eeh Azuma

Ah Chino
Sikutaka kutangaza kisa vile ulivyofanya umeniboa ushabakwa zaidi ya Mara sita akutake nani changudoa
Huna gari na ujazishika dor kutwa unashindia mapanadol wanangu ushawapa zaidi ya Mara Moja kwa kujamiiana
Zile pigo zakuchukulia kiukweli Mimi kwangu ziliboa Ila Huyu wa sasa sio poa sio Kama wewe zoazoa nashukuru Mungu kwakuniokoa bila hivyo we ungenitia doa Demu unadanga sio poa kukesha kwa waganga kutafuta ndoa
Basi nikiss mwaah oooh mwaah basi babe we nikiss mwaah eeeh eeeh mwaaah nisogelee kwa mwaaah oooh mwaaah zunguka rudi nyuma eeeeh mwaah na Chino Wanaman
Sialidhani amenikomoa alivyo niacha sasa mambo nga’ri ng’arii
Ushamba wa kuchukulia poa kupenda hanasa sasa kipo Wapi chaliii
Anakunywa sana Azuma eeeh eeeh Azuma muda wote kajilaza Azuma eeh Azuma
Written by: Chino Kidd, Ucho Gun

Loading...