Testi

Umwema umwema fadhili zako niza milele makusudi yako ni makuu kwetu Tunakuimba twakushukuru fadhili zako Niza milele makusudi yako ni makuu kwetu Ooh umwema umwema fadhili zako niza Milele makusudi yako ni makuu kwetu Ooh umwema umwema fadhili zako niza Milele makusudi yako ni makuu kwetu Umwema umwema BWANA Umwema umwema fadhili zako niza milele makusudi yako ni makuu kwetu Mbinguni wakuabudu duniani tunaimba utukufu ni kwa Mwana kondoo Ameshinda shetani kamnyanganya mamlaka astahili sifa utukufu heshima. Umwema Yesu fadhili zako niza milele na milele Uwaajabu Yesu wapita wote Umzuri na u pendo Tunakuabudu mwenye hekima uliyeumba Nchi na mbingu Tumejiunga na watakatifu nawenye uhai tukusifu Umwema Yesu...
Writer(s): Rehoboth Ministries Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out