album cover
Ogwang
314
World
Ogwang è stato pubblicato il 28 settembre 2014 da JOWImusic come parte dell'album Kilimanjaro
album cover
Data di uscita28 settembre 2014
EtichettaJOWImusic
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM136

Video musicale

Video musicale

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Anyango
Anyango
Lead Vocals
Shin'ichi Akagawa
Shin'ichi Akagawa
Remixer
COMPOSITION & LYRICS
Anyango
Anyango
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Anyango
Anyango
Producer
Maret Aska
Maret Aska
Producer
Mitsuto Suzuki
Mitsuto Suzuki
Producer

Testi

Mzee furani, mzee mkubwa
Kale zamani, ametunga utamaduni
Naitwa Kamba nane
 
Siku furani alisafiri
Ako na kazi. Ni kazi gani?
Ni cheza Kamba nane
 
Ako Nairobi, naitwa Kariobangi
Watu wowote wakisikia wanachezanga
Sababu ngoma tamu, ni Kamba nane
 
Safari yake ni maisha yake
Safari yako ni maisha yako
旅人は カンバナネ
その鼓動は 届かぬ夢
 
Una kumbuka? Yule kijana kutoka Asia
Mlikutana, mwezi kumi na mbili
Mwana wa kumi na tano
 
Kijana yako, na mi nyar Alego tukakutana
Baada ya miaka mingi, kama kumi na mbili
Hapa Japani
 
Tuna sukuma utamaduni
Naitwa kamba nane. Ni ngoma tamu
Safari yetu tuko njiani
 
Rafiki yako ni rafiki yangu
Kijana yako ni kaka yangu
旅人の カンバナネ
その旋律は 君の夢
Ngoma tamu Kamba nane
Ngoma tamu Kamba nane....
Written by: Anyango
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...