Testi

Eeeehhhh... Mimi Mungu (Me, God) Matendo nitalia, Kwa sinani nitaomboleza Sodoma nitanung'unika, Mipakani nitashambulia Mijini wameniacha, Kila mara nitashambulia Maisha ya wanadamu,Yamenichosha. Oh oh mimi Sitanyamaza, wala sitanyamaza Lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao Maovu yenu ninyi, pamoja na baba zenu Nasema nitalipa ndio mjue mimi ni Bwana Mmefukiza uvumba,na kunitukana Kwa ajili ya haya mtajutia vitani mwenu? Sitanyamaza, wala sitanyamaza Lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao Maovu yenu ninyi, pamoja na baba zenu Nasema nitalipa ndio mjue mimi ni Bwana Mmefukiza uvumba, na kunitukana Kwa ajili ya haya mtajutia vitani mwenu? Mmefanya uzinzi katikati ya milima Usiku wa manane mmefanya ukahaba Kwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatano Kwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo Mmefanya uzinzi katikati ya milima Usiku wa manane mmefanya ukahaba Kwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatano Kwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo Ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba Kila kijana aliyepita ulimwona anafaa Awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda Ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba Kila kijana aliyepita ulimwona anafaa Awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda Wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda Wako wapi mapenzi zako mbona sasa unakonda Wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda Wako wapi waelizamu (?) wako mbona sasa unakonda Miji mizuri imekuwa ukiwa Majumba mazuri yamefungwa kabisa Wana wa wana wamebaki yatima Kiburi chamuwamu(?) imekoma kabisa Miji mizuri imekuwa ukiwa Majumba mazuri yamefungwa kabisa Wana wa wana wamebaki yatima Kiburi chamuwamu(?) imekoma kabisa Hebu sasa piga kelele uliyeka habaa Shika kinubi omboleza upate kukumbukwa Hebu sasa piga kelele uliyeka habaa Shika kinubi omboleza upate kukumbukwa Nirudieni mimi niwasamehe, Nasema mgeukeni sasa niwaponye 5 Lakini Bwana asema hivi, nitawaponya Yeye mwenyewe aahidi, nitawabariki Mimi ni alfa na omega ayyoyo, mwanzo na mwisho Jamani mimi ni mungu, mwingine hapana Lakini Bwana asema hivi, nitawaponya Yeye mwenyewe aahidi, nitawabariki Mimi ni alfa na omega ayyoyo, mwanzo na mwisho Jamani mimi ni mungu, mwingine hapana Nirudieni mimi niwasamehe, Nasema mgeukeni sasa niwaponye 7 to fade
Writer(s): Maureen Nkirote Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out