ミュージックビデオ

クレジット

PERFORMING ARTISTS
Angela Chibalonza Muliri
Angela Chibalonza Muliri
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Angela Chibalonza Muliri
Angela Chibalonza Muliri
Songwriter

歌詞

Haleluya! uliniumba nikuabudu Bwana. uliniumba nikuabudu.(uliniumba nikuabudu) kwajili yako mimi naishi(uliniumba nikuabudu) Pasipo wewe nisingekuwepo(uliniumba nikuabudu) Mimi ni kazi ya mikono yako(uliniumba nikuabudu) Baba nimeona nikuabudu; maana matendo yako nimengi sana Ishara zako Baba ni nyingi mno Maana wewe ndie mungu wangu Uliumba nisema matendo yako Wewe ndie Mungu wa miungu eeeeee! Haleluya Baba; wewe kimbilio letu na ngome yetu Hakuna alie kama weweeee Uliniumba nikuabudu(uliniumba nikuabudu) posipo wewe mimi singekuwepo(uliniumba nikuabudu) Kama sio wewe nisingeliishi(uliniumba nikuabudu) Kwajili yako mimi naimba(uliniumba nikuabudu) Maneno yakusema yananikosa maana matendo yako niyaajabu maana ishara zako ni nyingi mno kwamacho nimeona makuu yako masikio nimesikia matendo yako ndio maana nimetambua yakwamba niliumbwa nikuabudu weeee! Mungu wa mileeeeele Uliniumba nikuabudu(uliniuba nikuabudu) kwaajili yako mimi naishi(uliniumba nikuabudu) umenipa sauti nikuimbie(uliniumba nikuabudu) Hata watu wote wanajua(uliniumba nikuabudu)(uliniumba .ikuabudu) ninasema uliniumba(uliniumba nikuabudu) wewe ni nuru ya maisha yangu(uliniumba nikuabudu) wew ni mwamba waimani yangu(uliniumba nikuabudu) Halleluya! Yesu mataifa yote ya dunia njoo tumwimbie Bwana maana fadhili zake ni za milele Daudi anasema hata wakati moyo wangu unakuwa na uohga ni kwako Mungu wangu najileta maana hakuna alliekutumikia akapoata haya halleluuya Yesu ni mfalme
Writer(s): Angela Chibalonza Muliri Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out