歌詞

Nimetuma wakusalimie Barua pia nimetuma usome Nikiwa nikitembea mara kwa mara ukumbuka mapenzi yetu vipi marina Mapenzi sio kitu kipya duniani kilianza na Adam na Hawa eeh Nimetuma wakusalimie Barua pia nimetuma usome Nikiwa nikitembea mara kwa mara ukumbuka mapenzi yetu vipi marina Mapenzi sio kitu kipya duniani kilianza na adamu na Hawa eehh Kwa hila nimesafiri Uko umebakia Chunga mapenzi yetu Kwa simu tutaongea aahh Mapenzi ya simu sitaweza Kama hunipendi uniambie Mimi bado ni murembo sitangoja Nikipenda naolewa ahh mie Mapenzi haichaguwi kabila Siku hizi muzungu muchaina uowana Japanese mwafrika vilevile eeehhh Mie marina aahh Mapenzi ya simu sitaweza Kama hunipendi uniambie Mimi bado ni murembo sitangoja Nikipenda naolewa ahh mie Mapenzi haichaguwi kabila Siku hizi muzungu muchaina uowana Japanese mwafrika vilevile eeehhh Mie marina aahh Uzuri wa mwanamke sio urembo Ni tabia aahh Uzuri wa mwanamke sio urembo Ni tabia aahhh Uzuri wa mwanamke sio urembo Ni tabia aahh Uzuri wa mwanamke sio urembo Ni tabia aahhh Uzuri wa mwanamke sio urembo Ni tabia aahh Uzuri wa mwanamke sio urembo Ni tabia aahhh Uzuri wa mwanamke sio urembo Ni tabia aahh Uzuri wa mwanamke sio urembo Ni tabia aahhh
Writer(s): Samba Mapangala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out