歌詞

Wanajua ni Mazishi Wanajua ni Mazishi Wanajua ni Mazishi Wanajua ni Mazishi Wanajua ni Mazishi Wanajua ni Mazishi Wanajua ni Mazishi Wanajua ni Mazishi We started from nothing My nigga man who'd ever thought we be Hella rich They said I was hard for the radio cause my rhymes were venomous They Know am a goon so they running away man it's like they scared of us We made it we made it we made it my nigga there is nothing you telling us. Nakumbuka Zile Siku nilikua nakula kwa vibanda Ku doze tu kwenye simiti hata Sikua na kitanda They told me niwache usanii ju apo Ni Kama na blunder But hao ndio as hunisho, manze izo Ngoma zinabambaMan I wanna thank the fans They told me that hate can never break a man So all of this talk about this and that azinibabaiashi Coz every time they give me a beat wanajua Ni mazishi Manze wanajua Ni mazishi Leo nimesema ntabonga so boss hamuninyamazishi So mpaka ile Siku izi Ngoma zitashika ka za avicci I swear mtajua uyu nigga Ni nani ju akuna ka sisi Nikipiga flow wanajua Ni mazishi Nikishika mic, wanajua Ni mazishi Nikipanda stage wanajua Ni mazishi Wanajua Ni mazishi, Wanajua Ni mazishiiiiii Wanajua Ni mazishi" wanajua Ni mazishi Si Wanajua Ni mazishi We hujui Ni mazishi? Wanajua Ni mazishi Hawa Wathii bado hawanitishi Washatambua me sibahatishi Glory I give it to jehovah nissi Kanibariki na hizi maandishi Me huzichora ka tarakilishi Nina Mafan yaani mpaka kilifi Hawa marapper Ni Kama kamisi Wakinicheki si wana wana Go missing Chini ya maji nika wako fishing Na ka unataka jua mahali naishi Piga malap uko 1960 Utapatana na masimba Mafisi So me huwa na kambi Ya wezi na bandi Akina Sammy na akina mwangi Akina shiko Jose na Njambi Aki ya nani, sipati Amani Juu kila Saa makarao tu na landy Ya Kutudandia, they demanding That we gon die juu si huvuta izo bangi But izo bangi me sivutangi Me Najua koro zimetoka budalangi Vile zina hangy unaeza uliza nani, Ah sjui nani, nyinyi Ni nani, Mimi Ni nani Mimi Ni jones Me ninangaa me Na paa me Ni star inafaa munivalishe taji ya rap juu inakaa Awa bratha wamechapa no wander waukaa tu mabanii Nikipiga flow wanajua Ni mazishi Nikishika mic, wanajua Ni mazishi Nikipanda stage wanajua Ni mazishi Wanajua Ni mazishi, Wanajua Ni mazishiiiiii Wanajua Ni mazishi" wanajua Ni mazishi Si Wanajua Ni mazishi We hujui Ni mazishi? Wanajua Ni mazishi We hujui Ni mazishi? Wanajua Ni mazishi
Writer(s): Brian Robert Ouko Omollo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out