同様の曲
歌詞
Hakika wewe ni Mungu (Ni wewe)
Utendaye maajabu (Ni wewe)
Hakika wewe ni baba (Ni wewe)
Umejawa na huruma (Ni wewe)
Hakika wewe ni baba (Ni wewe)
Umejawa na rehema (Ni wewe)
Hakika wewe ni Mungu (Ni wewe)
Utendaye maajabu (Ni wewe)
Hakika wewe ni baba (Ni wewe)
Umejawa na huruma (Ni wewe)
Hakika wewe ni baba (Ni wewe)
Umejawa na rehema (Ni wewe)
Mimi nataka niende na wewe pamoja na wewe Ee Bwana wangu
Maisha yangu yawe salama nifanikiwe maisha yangu
Kama Musa uwepo wako uende nami pamoja nami
Kama Enoko niende nawe peke yako
Nikupendeze eh Jehova Jehovaaa aaahh
Mhhhh haleluyah.
Ndiwe uliyenitendea (Ni wewe)
Mambo makubwa maishani (Ni wewe)
Nikikutafakari wewe (Ni wewe)
Kwa kweli mimi nashanga (Ni wewe)
Nikijutafakari wewe (Ni wewe)
Mimi ninaona raha (Ni wewe)
Ndiwe uliyenitendea (Ni wewe)
Mambo makubwa maishani (Ni wewe)
Nikikutafakari wewe (Ni wewe)
Kwa kweli mii nashanga (Ni wewe)
Nikijutafakari wewe (Ni wewe)
Mimi ninaona raha (Ni wewe)
Asante Yesu kwa wema wako asante
Baba we mkarimu sina tenaMungu mwingine
Ila wewe Bwana wangu moyo wangu wakusifu wewe
Roho yangu yakifurahia moyo wangu wakusifu wewe
Roho yangu yakifurahia
Haleluyah
Usifiwe.
Writer(s): Joshua Mlelwa
Lyrics powered by www.musixmatch.com