album cover
Umenibeba
8,265
Christian & Gospel
Umenibebaは、アルバム『 』の一部として2018年9月5日にGodwill BabetteによりリリースされましたUmenibeba
album cover
アルバムUmenibeba
リリース日2018年9月5日
レーベルGodwill Babette
メロディック度
アコースティック度
ヴァランス
ダンサビリティ
エネルギー
BPM54

クレジット

歌詞

Shamma we ni Jehovah dear
Umenibeba juu Halleluyah
Umenijenga juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na mapendo
Nimeona uzuri wako ooh
Nani wa kufanana na Ebenezer, Mungu wa Israeli
Wa kupenda na kuchukua ni wewe Jehovah
Umenifanya mrithi wa kusudi lako wema kabisa eeh
Nimtumaini yeye yeeh
Yeye nani ila, ila Ebenezer
Umenibeba juu Halleluyah
Umenijenga juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na mapendo oh
Nimeona uzuri wako ooh
Na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi
Tena bado unanizingatia na kunipa tumaini
Nafsi yangu ninakupatia ifinyange
Nitalinda moyo wangu uh ukufwate
Umenibeba juu Halleluyah
Umenijenga juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na mapendo oh
Nimeona uzuri wako ooh
Sifa na ibada nyimbo za utukufu
Yote kwako moyoni mwangu natoa
Sifa na ibada nyimbo za utukufu
Yote kwako moyoni mwangu natoa
Sifa na ibada nyimbo za utukufu
Yote kwako moyoni mwangu natoa
Umenibeba juu Halleluyah
Umenijenga juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na Mapendo oh
Nimeona uzuri wako ooh
(Umenibeba) umenibeba juu (umenibeba, umenibeba)
Umenijenga juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na mapendo oh
Nimeona uzuri wako ooh
Nimeona uzuri wako
Written by: A
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...