クレジット
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajab Abdul Kahali
Songwriter
歌詞
[Chorus]
Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Eti badala ya kujenga anabomoa
Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Badala ya kujenga anabomoa
[Verse 1]
Eti mapenzi hayalazimishwi tena ni siri ya watu wawili
Wala sikuwa mbishi alivyonikata kimwili
Asa jana nipo kwa mama Winnie, napiga zangu chai vitumbua
Eti kasambaza za chini chini, mie bado ninamsumbua
[Chorus]
Ooh mwambieni dada yenu hajanikomoa
Eti badala ya kujenga anabomoa
Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Ah badala ya kujenga ana
[Chorus]
Asa mguu pande, mguu pande, twende mguu sawa, mguu sawa
Eeh mguu pande, mguu pande, mguu sawa, mguu sawa
Ruka kijeda, kijeda, wahuni kijeda, kijeda
Asa jump kijeda, kijeda, gwaride la kijeda, kijeda
[Chorus]
Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa
Eti badala ya kujenga unabomoa
Bosi mwenye bajaji hujanikomoa
Badala ya kujenga unabomoa
[Verse 2]
Chombo imelala gereji, mie jana sijakula vichwa
Umetuma bonge la meseji, unataka pesa jua tu ni kichwa
Mi nafanya kazi kwa shida, nakesha tena silali
Unachukulia barida, kwa nguvu unadai salary
Muda mwingine niwabebe ndugu zako (Ooh ndugu zako)
Mwisho wa wiki unataka pesa zako (Ooh pesa zako)
[Chorus]
Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa
Maana badala ya kujenga unabomoa
Bosi mwenye bajaji hujanikomoa
Eti badala ya kujenga
[Bridge]
Wazee wa chafu tatu (Mama), chafu tatu (Chinja), I say chafu tatu, chafu tatu
Nasema kei ndani (Wahuni), kei ndani (Machizi boti)
Ana dume ndani (Duke boti), dume ndani (Yuapiga mata), mzungu wa pili ndani (Wahuni), pili ndani
Kuja sasa chafua (Walete), chafua (Walete), wahuni chafua (Walete), chafua (Walete)
Nasema fitizi hiyo (Baruti), fitizi hiyo (Baruti), sasa fitizi hiyo (Baruti), fitizi hiyo
[Bridge]
Kama unampenda Dogo Mfalme kimbiaa
Kama unampenda Omari, Omari, kelele
Mwambie mzambele ajinyonge
Hunter ninyonge, dogo router aninyonge
[Chorus]
Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa
Maana badala ya kujenga unabomoa
Baaba mwenye nyumba wangu hujanikomoa
Badala ya kujenga unabomoa
[Verse 3]
Unakuja mpaka ndani, tena bila kugonga hodi
Niulizapo ku nani? Nimechelewa kulipa kodi
Umeme kwangu umekata, taa kwako zinawaka
Ata maji umekata, nashinda gogo kukata
Kupata majaliwa ipo siku utapewa
Kwangu nitahamia hata ikichelewa
[Chorus]
Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa
Eti badala ya kujenga unabomoa
[Outro]
Aya sasa toa shati, toa shati, aah zungusha shati zungusha shati
Eeh mpaka kofia yaani dareki, wazee wa vitambaa-vitambaa
Written by: Rajab Abdul Kahali