ミュージックビデオ

特集

クレジット

PERFORMING ARTISTS
Golden Tz
Golden Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tuphy
Tuphy
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Tuphy
Tuphy
Producer
Cat P
Cat P
Producer

歌詞

Nana na na nah Kusononeka najua ni kufuru ila yamenishindaa Mi mnyongee mwenzangu mkaburu Ubabe wa kivitaa Kukuacha Hapana labda uniache wewe Mi kwako nitang'ang'ana bora nife nawee aiyee Kwangu we malaika malaika, Umeshika maisha yanguu Ukinigusa nafika nafikaa umeshika uhai wanguu Mi kwako sisemiii Wakanda Forever, Mtikisiko Moyonii ndani ndani unachezaaa Iyee iyeee ieee Malaika,Malaika (Malaika malaika) Malaika,Malaika (You are my everything) Malaika Malaika (Malaiiiiii) Malaika malaika (Nakupenda Malaikaa) Puyaka Puyaka Puyaka babe Puyaka puya Puyaka puyaka babe Puyaka puyaa Puyaka puyaka mama puyaka puya Puyaka puyakaa mmmh eeeh Forget about the things that i say to you Forget about the things that I did to you To me you are the blessing babe we meant to be Kupishana kwenye maisha inatokeaa Usiweke vikwazo sio fair You the special and you know it Sayari ya uhaiii Kukuacha Hapana Labda uniachee wewe Mi kwako nitang'ang'ana bora nife nawee babe Umeniweka kifungoni dada we Hata kwingine siioni ma wee Macho upofu mi nimechakaa yeye yeyeye Oohooo hoo malaika Malaika malaika (Malaika malaika) Malaika malaika My sugar my sugar my sugar my honey ooh Malaika malaika My lover my lover my lover my bebio You got me thinking about you Yeyi yeye hii You got thinking about you you yo You got me thinking about you girl Yeiye hii Malaika Shout out to my produce Tuphy Goodnight bye bye
Writer(s): Salum Said Nyangumwe Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out