ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
Billnass
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
William Nicholas Lyimo
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. T Touch
Producer
歌詞
Usoni tunangenya bado tunapendwa, mifukoni sio njema, bado tunapeta
Wambie watoto wa mama furaha yetu sio pesa, sio pesa, furaha yetu sio pesa
Maniggerz wanakunja, maniggerz wanakunja kuu, wanakunja kuu
Na sisi tunadunda, na sisi tunadunda du, tuna dunda duu
Aioo nikipiga deal namcheck mamy ooh nakumbuka kwanza nyumbani ooh (Chafu pozi)
Mara natoka na fulani ooh (Ndo basi tena), ndo vile kabug ramani ooh (Ndo basi tena)
Mara navuta mjani ooh (Ndo basi tena)
Maneno kitu simple, I gotta love for my people
Mi natoka chafu pozi, chafu pozi, natoka chafu pozi, chafu pozi
Mi natoka chafu pozi, chafu pozi, natoka chafu pozi, chafu pozi
Maneno kitu simple (Chafu pozi), I pose than your vision (Chafu pozi)
I gotta love for my people (Chafu pozi), I know am the mission (Chafu pozi)
Hii ni kwa wanangu wanaoishi chini ya dola moja, pia watoto wakiswazi ndo vile tunajikongoja
Shida kitu gani na tunaishi mara moja, heat song ndo hizi street zinawangoja
Wangetoa riziki wao (Ndo basi tena), nisingekuwa hivi now (Ndo basi tena)
Wangetoa riziki wao (Ndo basi tena), nisingekuwa hivi now (Ndo basi tena)
Ni noma wana-wana-wana wanafiki, ni bora mchawi kuliko wana wanafiki
Fitina zao uzushi kibao, wanatengeneza chuki mi ndo shit yao
Waya, cross dongo, nashukuru Mola ananipa michongo, nazidi kung'ara naiteka bongo, (Bongoo)
Ndo basi tena
Mi niliona joka chafu pozi, chafu pozi, mi natoka chafu pozi, chafu pozi
Mi natoka chafu pozi, chafu pozi, mi natoka chafu pozi, chafu pozi
Maneno kitu simple (Chafu pozi), I pose than your vision (Chafu pozi)
I gotta love for my people (Chafu pozi), Bado am the mission (Chafu pozi)
Hii ni kwa wanangu wanaoishi chini ya dola moja, pia watoto wakiswazi ndo vile tunajikongoja
Shida kitu gani na tunaishi mara moja, heat song ndo hizi street zinawangoja
Nana, nana, mi natoka chafu pozi, nana, nana, mi natoka chafe pozi
Mi natoka chafu pozi (Chafu pozi), mi natoka chafu pozi (Chafu pozi)
Mi natoka chafu pozi (Chafu pozi), mi natoka chafu pozi (Chafu pozi)
Maneno kitu simple (Chafu pozi), I pose than your vision (Chafu pozi)
I gotta love for my people (Chafu pozi), Bado am the mission (Chafu pozi)
Maneno kitu simple (Chafu pozi), I pose than your vision (Chafu pozi)
I gotta love for my people (Chafu pozi), Bado am the mission (Chafu pozi)
Chafu pozi, mi natoka chafu pozi, chafu pozi, chafu pozi, mi natoka chafu pozi
Mi natoka chafu pozi (Toka chafu pozi)
Chafu pozi
Written by: William Nicholas Lyimo