クレジット
PERFORMING ARTISTS
HopeKid
Performer
Nicah The Queen
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nicah The Queen
Songwriter
Simon Mumina Wambua
Songwriter
歌詞
Yeees man, see mi a seh , hhmm na nicah the Queen
Verse 1
Umeniwahiwahi mama, Kama mwizi kwa mikono ya raia.
Umeniwahiwahi mama, Kama mlevi amelemewa na bia.
Umeniwahiwahi mama, zawadi Mungu amenitunukia.
Gyal you got mi whole heart it’s time fi settle down now.
Nataka pete pete nikuvishe
Na vitenge tenge tufananishe
Tuwatese tese tuwa-feelishe
Waone gere gere gere
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa x 4
Ooh I know I know, you wanna be with me tena wanidhamini.
And I know I know si rahisi, ila nitajitahidi.
Nakubali pete pete univishe
Na vitenge tenge tufananishe
Tuwatese tese tuwa-feelishe
Waone gere gere gere.
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa x 4
Babe you you you
Babe you
Babe you you you
umeni wahiii
Babe you you you( Kama mwizi kwa mikono ya raia)
Babe you ( Kama mlevi amelemewa na bia)
Babe you you you
umeni wahiii
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa x 4
Nimeku wahi wahi sana
Nimeku wahi wahi sana
Nimekuwaaaahi wahii
Written by: Nicah The Queen, Simon Mumina Wambua