歌詞

Mmh mmh mmh Mmh mmh hahieya Mmh mmh mmh, mmh Hadithi za mapenzi, zina safari safari safari za mbali Visa na mambo mengi, vinatesa unajua ila mpenzi usijali Na sumu ya mapenzi, inatesa moyo mchana, usiku silali Sukari ya mapenzi, ishaganda moyoni zaidi ya tamu ya asali Tazama uzuri wako, penzi langu usije shusha thamani Thamani ya penzi lako, nitalitunza moyoni na kesho peponi Tazama uzuri wako, penzi langu usije nishusha thamani Thamani ya penzi lako, nitalilinda moyoni na kesho peponi Dunia na mapenzi, vinatesa unajua sema mpenzi tafadhali Usiku silali, ooh lalalaah Nauliza uko tayari Nikupeleke nyumbani, japo sina pesa na nyumba gari Usijali Nauliza uko tayari Nikupeleke nyumbani, japo sina pesa na nyumba gari Usijali Ona Yupo niliompenda, kwa utenzi na nyimbo na zeze nilimwimbia Akaniacha akaenda, na maradhi ya kupenda moyoni nikaugulia Yupo niliompenda, kwa utenzi na nyimbo na zeze nilimwimbia Akaniacha akaenda, na maradhi ya kupenda moyoni nikaugulia Masikini penzi langu, sina pesa, mali na gari za kuringishia Chondechonde roho yangu, na simanzi ya mapenzi moyoni nisije kulia Masikini penzi langu, sina pesa, gari na mali za kuringishia Chondechonde roho yangu, na simanzi ya mapenzi moyoni nisije kulia Dunia ya mapenzi, vinatesa unajua sema mpenzi tafadhali Maumivu ya mapenzi, yanatesa moyo mchana usiku silali Nauliza uko tayari Nikupeleke nyumbani, japo sina pesa na nyumba gari Usijali Nauliza uko tayari Nikupeleke nyumbani, japo sina pesa na nyumba gari Usijali Oh oh eyah, mmh mmh Oh oh eyah, uko tayari Oh oh eyah Usijali Oh oh eyah, mmh mmh Oh oh eyah, uko tayari Oh oh eyah Usijali
Writer(s): Diamond Platnumz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out