歌詞

Aai Papi Ssaru Maisha ni yangu We shughulika na yako Napenda za kwangu We shughulika na kwako Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Unataka mtu simple humble, rich young Ndo upeane nambe Unataka mtu dark, mlight mtall Beb tafuta wababaz Unaplan future yetu kumbe uko alone Maisha ni safari mi na ride along Labda mi niomoke nikuitage form Ama labda we uomoke nikujage home Mi nayo pombe siwezi onja (Aii nakunywa yote) Na akiamua kukupatia (Aii chukua yote) (Byron Baby) Maisha ni yangu We shughulika na yako Napenda za kwangu We shughulika na kwako Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mi sipangwingwi, kijana ni gwiji Unapangaje morio ana kashilingi kwa wingi Mafeelings za nini, mi ni jangili kamili Nasanya mamdenge wa matajiri wa mjini Samahani chai chumvi imejaza maziwa na majani Sikusubi mi ni trio mio whatagwan? Ka hunijui unajifanya bombo haja gani? Abiria nawapanga ka makanga wa kasarani Ama vijiti za kiberiti ndani ya boxdem Huwanga sitishiki naget mabinti nawachokdem Washa ngwariti tuskie fiti hadi shokdem Cheza na mangoksdem Maisha ni yangu We shughulika na yako Napenda za kwangu We shughulika na kwako Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Ah mi sitambui mbui, mi mchana buibui Nikiwa mababi mahali leta maruirui Na niko na mashoga kibao nataka madui dui Sitaki kifisi niko bongo nasaka chui chui Ukitaka mizuka, mimi ndo hooker Tena nagwara nikidara nina vikucha Hiki kichupa shika na kupa Na wanapenda ukipapia bada pupa Naishi nitakavyo ondoa vikwazo Ukiona najidai jua kujikopa ndo chanzo Nikishika ngiri natesa na majigambo Ju naona siku hizi ganji mnasafisha kwa mitambo Maisha ni yangu We shughulika na yako Napenda za kwangu We shughulika na kwako Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi Mii sipangwingwi, sipangwingwi
Writer(s): Tony Kinyanjui Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out