ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
Ringtone
Performer
Ringtone Apoko
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ringtone Apoko
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Still Alive
Producer
歌詞
[Intro]
Oa, oa, yeah yeah
Ringtone, mwana Ringtone
[Verse 1]
Natafuta bibi, nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, pastor nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
[Verse 2]
Natafuta bibi anayempenda Mungu (Ooh)
Hapendi ftina anapenda watu (Ooh)
Anapenda kuomba anapenda kusifu (Ooh)
Mwenye hekima na hofu (Ooh)
[Verse 3]
Ananyenyekea, anapenda watu
Anapenda watoto, anapenda Mungu
Anatoa sadaka na fungu la kumi
Yuko wapi? Namtafuta
[Verse 4]
Daudi akasema
Nilikuwa kijana sasa ni mzee
Na sijawahi ona Mungu ameacha mwenye haki
[Chorus]
Natafuta bibi, nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, pastor nisaidie
Natauta bibi, mniombee
[Verse 5]
Watu hawataki kuelewa
Mimi wananichekelea
Kwake Mungu nategemea
Mke ataniletea
[Verse 6]
Alivyompa Sara
Mtoto miaka ya uzeeni
Na akamjibu Hannah
Akampa wana
[Verse 7]
Daudi akasema
Nilikuwa kijana sasa ni mzee
Na sijawahi ona Mungu ameacha mwenye haki
[Chorus]
Natafuta bibi, nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, pastor nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
[Verse 8]
Maombi yangu, mi nifanye harusi
Watu wale pilau, washerehekee
Tutembee kanisani, watu waimbe pambio
Kwetu nyumbani, watu washerehekee
[Verse 9]
Wale hawakuamini
Wanaeza wa-washerehekee
Wale walionipenda
Mbele yao waniletee zawadi
Tuwe na harusi
Itakayofunganishwa kanisani
Tuwe na harusi
Itakayokubalika mbinguni
[Chorus]
Natafuta bibi, nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, pastor nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, pastor nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Written by: Ringtone Apoko