album cover
Mpaka Chee
2,719
World
Mpaka Cheeは、アルバム『{albumName}』の一部として2016年1月8日にPili Pili MusicによりリリースされましたFungua Mlango
album cover
アルバムFungua Mlango
リリース日2016年1月8日
レーベルPili Pili Music
メロディック度
アコースティック度
ヴァランス
ダンサビリティ
エネルギー
BPM101

歌詞

[Verse 1]
Vipi wasee kama mnajua
Hakuna kulala ni kupandisika mpaka chee
Tukiwa pamoja tuchore mpango leo mpaka chee
Amua amua hakuna kuzubaa
Amua twende klabu tubanjuke
Ama chagua twende roundi mwenda
Hao madame wasupa tuwasuke
[Verse 2]
Kiswahili venye yastahili waingia akili
Waachilie mwili leo kila kitu tunado mpaka chee
Niambieni tu mnatakaje
Maboys wanataka kupewa mpaka chee
Asubuhi waamke waende gym tizi
Madame wanataka game mpaka chee
Asubuhi waamke na Jim Wizzy
[Chorus]
Mi na wewe na wewe (Tukijuana)
Mpaka chee mi na wewe
Na wewe mpaka chee
Mi na wewe na wewe (Tukibangaiza)
Mpaka chee (Kizee)
Mi na wewe na wewe (Tukibambisha)
Mpaka chee
[Verse 3]
Ama tubaki kejani tuchane veve tukibambua mpaka chee
Ama twende base tudunge kambi na mastory mpaka chee
Ama tusahau story yote tukalale
Hapana nafikiri twende kesha
Tutubu dhambi mpaka mchana
Kama wajuajua wajitambuambua amua amua
Vako ya kishua wacha kuzubaa
Wacha kujitupa amua sasa wacha kujifunga
[Chorus]
Mi na wewe na wewe (Tukijuana)
Mpaka chee mi na wewe
Na wewe mpaka chee
Mi na wewe na wewe (Tukibangaiza)
Mpaka chee (Kizee)
Mi na wewe na wewe (Tukibambisha)
Mpaka chee
[Verse 4]
Ka security lights tubaki on mpaka chee
Shika manzi vitight jo, usimwache
Fanya hii siku ya kuremember bana
Sahau siku vitu zimeenda mrama
Kaa watchie, kaa guard
Waka hadi uitwe torch ulete nuru gizani
Ambia shorty sasa darling
Toka saa hii hadi chee ni we' na nani
[Chorus]
Mi na wewe na wewe (Tukijuana)
Mpaka chee mi na wewe
Na wewe mpaka chee
Mi na wewe na wewe (Tukibangaiza)
Mpaka chee (Kizee)
Mi na wewe na wewe (Tukibambisha)
Mpaka chee
[Outro]
Leo hakuna ati kudelay
Ni kupandisika mpaka chee
Tujirushe rushe mpaka chee
Na kuburudika mpaka chee
Leo hakuna ati kudelay
Ni kupandisika mpaka chee
Tujirushe rushe mpaka chee
Na kuburudika mpaka chee
Leo hakuna ati kudelay
Ni kupandisika mpaka chee
Tujirushe rushe mpaka chee
Na kuburudika mpaka chee
Leo hakuna ati kudelay
Ni kupandisika mpaka chee
Tujirushe rushe mpaka chee
Na kuburudika mpaka chee
Written by: Peter Gatonye Ngugi, Pili Pili
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...