ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
Wini
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Arrington Felix George
Composer
歌詞
Mwenzako kwako nishaikunjua nafsi oooh tena mkia nishafyata
Usijenipanga ka mishikaki ukanichezesha prakataa
Nishapitia visanga na penzi la ukabula la ukabula eeehhh
Mambo ya yakuchanjwa chanjwa na nazi nishavunja oohh nikavunja
Kusema kweli kwako nimefall in love girl nataka na kapete nikuvishe oohh babe I know u love me siwez fanya uteseke
Hotulia machozi hapa umefika kwa king of love
Nisha
Nishajaza kibaba wangu malaika i swear I never ever lie to you
Wenye vijiba vya roho macho ya chongo acha waumwe roho
(Shauri zao)
Kama kuku mdondo shingo yaning'inia wanawivu na choyo
(Shauri zao)
Wanateseka teseka iyooo teseka wanateseka hao(shauri zao)
Situwachekecheke chekecha iyoo tuwachekeche haoo(shauri zao)
Halitoweka uzio kwenye ngome ya penzi langu baby eeeehh
Tucheze kuchikuchi hata paranaweeeehhh
Oohh babe vimba babe vimba(vimba)
Onesha makeke vimba (vimba)
Komesha mapepo punda (vimba)
Venye ukisaga lumba (vimba)
Kusema kweli kwako sina mpango wa kando samaki nshanasa kwa chambo
Tui tulinyunyize kwa tango
Babe oohh naipenda aaahh
Acha nijipe ujiko penzi nshaweka uzio mi kwako nishabwaga roho
Zile mshikemshike ukinisweka mwenzio najimwaga kwakangaloo
Basi nipende niringe oohh niringe
Kwako hoihoi naziogopa mbilinge oohh mbilinge nilishaga umizwa moyoo
Nami wacha nikupende wanga wanune nawe uringee oohh
Kwangu bahati ya mtende kuwa nawe acha wanune shauri zao
Wenye vijiba vya roho macho ya chongo acha waumwe roho
(Shauri zao)
Kama kuku mdondo shingo yaning'inia wanawivu na choyo
(Shauri zao)
Wanateseka teseka iyooo teseka wanateseka hao(shauri zao)
Situwachekecheke chekecha iyoo tuwachekeche haoo
(Shauri zao)
Written by: Arrington Felix George


