クレジット

歌詞

Whoa
Mac
Expensive rapper
Silvana
I love you, baby girl
Hello, hello, Ma
Wazima huko nyumbani?
Mi na homa, hali yangu mi tafarani
Natamani' kurudi nyumbani, tuishi kama zamani
Maana' mi nautesa moyo, kila siku kujiliza ndani
Na presha mie
Mwanaume gani kisirani
Maana' mi nautesa moyo, kila siku kujiliza ndani
Na presha mie
Mwanaume gani kisirani
Sasa nimechoka
Naondoka
Sasa nimechoka
Naondoka
<>
Yes
Uh, sijui hata kwanini baby huniamini
Nnapokuwa mbali na wewe, unajua mi na cheat
Wewe wangu mimi, basi baby jiamini, nnapokuwa mitikasi hata simu mi sishiki
Siwezi sema tena, "basi"
Nkakata tamaa, ntatuliza yangu nafsi, iliniponza tamaa
(?Mcha pro Max), Danga la kitaa
Mtaka nyingi kwa pupa, moyo umeuachia balaa
Mi bado kijana sana, ujana mama
Ntapambana sana baby usije nikataa
Ah, makundi bwana, starehe za ujana
Vishawishi vya dunia nishavikataa
I'm sorry
Sasa nimechoka
Naondoka
Sasa nimechoka
Naondoka
Nimechoka kulia
Vurugu mechi' ndani hapakaliki
Una gubu, baba wee
(Baba wee)
Bora tu kutulia
Ya sasa sio ya zamani, hayatamaniki
Hii nafasi niigawe
Eeehh...
Sasa nimechoka (Nimechoka, nimechoka)
Naondoka (Naondoka' narudi kwa mama)
Sasa nimechoka (Nimechoka, nimechoka)
Naondoka (Naondoka' narudi kwa mama)
Sasa nimechoka (Nimechoka, nimechoka)
Naondoka (Naondoka' narudi kwa mama)
Sasa nimechoka (Nimechoka, nimechoka)
Naondoka (Naondoka' narudi kwa mama)
Written by: Lameck Gunda
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...