歌詞

Wololo Wololo Wololo Wololo Wololo Mwokozi wangu (wololo) Mpenzi wangu (wololo) We baba wangu (wololo) Mungu wa mapenzi mema (wololo) Jehova shammah (wololo) Jehovah Nissi (wololo) Jehovah Rapha (wololo) Jehova Yireh (wololo) Jehovah Rapha (wololo) Mungu wa mapenzi mema (wololo) Mwenye uweza (wololo) We mwenye heshima (wololo) Mtakatifu (wololo) Uhimidiwe baba (wololo) We Ebeneza (wololo) Uzima wetu (wololo) Nuru ya wokovu wetu (wololo) Tawala Tawala Tawala Tawala Tawala Tawala baba we eeh (Tawala) Tawala Yesu ee (Tawala) Tawala tukuone (Tawala) Tawala baba we eh (Tawala) Tawala maisha yetu oh (Tawala) Tawala baba we eh (Tawala) Tawala nyumbani kwetu (Tawala) Tawala Yesu ee (Tawala) Tawala wachungaji wetu baba (Taw Tawala Yesu ee (Tawala) Tawala watoto wetu we e (Tawala) Tawala baba we ee (Tawala) Tawala akili zetu (Tawala) Tawala baba (Tawala) Tawala mawazo yetu he (Tawala) Tawala baba we eh (Tawala) Tawala huduma zetu baba (Tawala) Tawala baba we ee (Tawala) Tembea tukuone baba aah (Tawala) Tusafishe baba, tutakase baba,×2 Njoo kwetu baba, tutakase baba, Njoo kwetu baba, tutakase; Kung'uta (hehee) Kung'uta (heehe) Kung'uta (wewe) Kung'uta (kung'uta) Kung'uta (kung'uta) Kung'uta Kung'uta ah! Kung'uta Kung'uta kung'uta ah _Kunguvuza wachawi baba, _Kung'uta Yesu we eh, _'Wapea na wanafiki wote, _Kung'uta baba we eh, _Wasiopenda maendeleo yetu, _Kung'uta baba we ee, _Wasiopenda maisha yetu baba, _Kung'uta baba we eh, _Wanafiki wote, _Kung'uta baba we eh, _Washindwe kwa jina la Yesu, _Alha! Kung'uta baba we eh, _Safisha kanisalako heeee Haiyayayayayayaya! Kung'uta, tuwe safi Kung'uta, tuwe safi Kung'uta, magonjwa yote, Hah! Kung'uta Yesu we eh, Uchawi wote, haiya kung'uta Uchafu wote, yeyee, Kung'uta eeeeh. Wololo Wololo Wololo Wololo Wololo Jehova Rapha (wololo) Jehova Shammah (wololo) Jehovah Jire (wololo) Mpenzi wetu (wololo) Muumba wetu (wololo) Rabii mwalimu mwema (wololo) Utufundishe (wololo) Njoo ukae nasi (wololo) Mwalimu mwema (wololo) Tabibu wa karibu (wololo) Mtenda mema (wololo) Baba mwokozi wetu (wololo) Tawala baba woo, Mikosi na balaa zote kung'uta, Kung'uta baba kung'uta eeeh
Writer(s): Rose Muhando Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out