ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
Jaivah
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Jaivah
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mix killer
Producer
歌詞
[Intro]
Eeh oya Jaivah striker aiya mmh
Aah hata iweje (We hata iweje) aah mmh hata iweje
Aah wee hata iweje (We hata iweje) aah wee hata iweje
[Verse 1]
Hata Iweje aah ijumaa hunikiti ghetto kwangu
Wee hata iweje na sponsor huniibii my wangu, kwamba
Eti nikuone wa msingi kisa hivyo vishilingi
Hapo kwenyewe ni chawa na bosi akisafiri huvimbi
[Verse 2]
Eti niache kudanga, hebu tuliza kilanga
Kwanza uischokijua we mwenyewe nakudanga
Kwamba niache kulewa kweli mjini umechelewa
Pombe tangu galilaya, hebu niondolee uyayaya
[Chorus]
Nimuonee wivu chura (Wee hata iweje)
Huo nao si umburura (Haata iweje)
Na mishavu kufura (Wee hata iweje)
Hebu nitolee hio safura (Haata iweje)
Eti niende na club (Wee hata iweje)
Home nirudi mwenyewe (Haata iweje)
Sawa wengine ni tabu (Wee hata iweje)
Ila best hata wewe (Haata iweje)
[Verse 3]
Hata Iweje aah
Bata haziingilii kazi yangu
Wee hata iweje, ex simpi tena moyo wangu
Mapipi ikona kidimbwi, ipendavyo si vitimbwi
Sitonekana nimbi, au unasemaje chako pimbi
[Verse 4]
Kwamba, unichezee na uniache hebu niondolee ufala
Yaani nishindwe kulala wallahi nakutoa kafara
Yani nikose kubeti nitanunua vipi kijora cha fetty
Yaani unikose elementi midfield kisheti
[Chorus]
Nimuonee wivu chura (Wee hata iweje)
Huo nao si umburura (Haata iweje)
Na mishavu kufura (Wee hata iweje)
Hebu nitolee hio safura (Haata iweje)
Eti niende na club (Wee hata iweje)
Home nirudi mwenyewe (Haata iweje)
Sawa wengine ni tabu (Wee hata iweje)
Ila best hata wewe (Haata iweje)
[Chorus]
Nimuonee wivu chura (Wee hata iweje)
Huo nao si umburura (Haata iweje)
Na mishavu kufura (Wee hata iweje)
Hebu nitolee hio safura (Haata iweje)
Eti niende na club (Wee hata iweje)
Home nirudi mwenyewe (Haata iweje)
Sawa wengine ni tabu (Wee hata iweje)
Ila best hata wewe (Haata iweje)
[Verse 5]
Mapipi ikona kidimbwi, ipendavyo si vitimbwi
Sitonekana pimbi, au unasemaje chako bimbi
[Verse 6]
Kwamba, unichezee na uniache hebu niondolee ufala
Yaani nishindwe kulala wallahi nakutoa kafara
[Outro]
Eeh oya Jaivah striker aiyayayayaya
Aah wee, ayayaya
Ahh yes born sinza
Aayaa, aah we, ayaya, ayaa
Written by: Jaivah