ミュージックビデオ

ミュージックビデオ

クレジット

PERFORMING ARTISTS
Dayoo
Dayoo
Vocals
Kusah
Kusah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
BALTAZARY ELIGY
BALTAZARY ELIGY
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
CUKIEDADY
CUKIEDADY
Producer
O.Right
O.Right
Producer

歌詞

Umenikaa kichwani ndoto zangu kua na wewe (We-we, wee)
Kwani uko nchi gani ama upo far away (Awayy)
Au kokote ulipo jina niambie nije huko, maana ninatangatanga kipofu nisio na mwanga
Mimi simjui jina wala kabila ila nimezama kina kirefu
Nimeshawahi kumuona ila kwa fikira, uzuri wake hakuna kama yeye
Hata nipige guitar my love, nikuimbie kutwa melody
Na ningeijua namba hata ningekucheki basi, nipige guitar my love
Nikuimbie kutwa melody na ningeijua namba hata ningekucheck basi
(Nikuone) Am waiting for you nakusubiri (Nikuone)
Haata nikiona mikono nitajua ni wewe tu (Nikuonee), kwanza macho yako kama una aibu (Nikuonee)
Achana na mikono tuangalie miguu
Ooh my baby, we umeumbwa-umbwa-umbwaje, kwa udongo ama kwa chuma
Yani umeumbwa-umbwa-umbwaje, huba lako lanitesa we umeumbwa-umbwa-umbwaje
Yani hoi tabani, mimi naumbwa-umbwa-umbwaje
Nyama Mungu kaumba bala (Aah), ameuchoma moyo ganzi (Aah)
Nikimuwaza naonaga raha (Aah), anayapona na maradhi
Haata nipige guitar my love, nikuimbie kutwa melody
Ningeijua namba yako, basi ningekucheck baadae baby (Nikuone)
Am waiting for you nakusubiri (Nikuone)
Hata nikiona mikono nitajua ni wewe tu (Nikuonee), ata macho yako kama una aibu (Nikuonee)
Achana na mikono tuangalie miguu
Nipigie guitar my love aah, nikuimbie kutwa melody
Na ningeijua namba hata ningekucheck basii
Written by: BALTAZARY ELIGY, Balthazar Romani
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...