album cover
Marangapi
3
Hip-Hop/Rap
Marangapiは、アルバム『{albumName}』の一部として2022年10月14日にCCN StudiosによりリリースされましたMarangapi - Single
album cover
アルバムMarangapi - Single
リリース日2022年10月14日
レーベルCCN Studios
言語English
メロディック度
アコースティック度
ヴァランス
ダンサビリティ
エネルギー
BPM71

ミュージックビデオ

ミュージックビデオ

クレジット

COMPOSITION & LYRICS
Chris Oduor
Chris Oduor
Songwriter
Chumba Cha Ngoma
Chumba Cha Ngoma
Songwriter
Kosam Songwe
Kosam Songwe
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kosam Songwe
Kosam Songwe
Producer

歌詞

Mara ngapi wanachoma rada wakitry kuflex
Mbona unataka kuchomea mwenzako alafu umpige dent
We juwa mafish wamechizi hizi area na wao ndio wanakula kwa net
Mambo inapigwa connect collect ondoka na upige the race

Wanashindwa vipi sibishani
Juu niliwasoma kitambo roho ina chuki mnadai ni ubandi
Ukikataa kubebwa ufala wanadai ni ego unashikishwa handy
Ulidhani huyo plug ni understanding but unapimwa kiplani
Nimecheki maboyz wakitokana bag
Stressed out siezi take hata nap
Nikidedi ndio ntapata the love
Nakumbuka days nikibambwa ka plug
But for a customer sio enough
Kama si stenje hauwezi ku cuff
Wasee wanakoroga sana joh ni tough
Mara ngapi wanachoma rada wakitry kuflex
Mbona unataka kuchomea mwenzako alafu umpige dent
We juwa mafish wamechizi hizi area na wao ndio wanakula kwa net
Mambo inapigwa connect collect ondoka na upige the race
Mara ngapi wanachoma rada wakitry kuflex
Mbona unataka kuchomea mwenzako alafu umpige dent
We juwa mafish wamechizi hizi area na wao ndio wanakula kwa net
Mambo inapigwa connect collect ondoka na upige the race
Mboka inatuma vile wasee wanachizi na bado unawachapa ma threat
Unapata wanageuza story wanasema we mwizi kidogo umechapwa regret,instead
Target inakuwa the next na bread
Hizi more zilianza na less
Nashindwa mbona wengine wanavex
Former child anapiga ma step
Ile drip ulitaka iko kwa waba
Hate me with your chest msijifanye maundercover
Mishoni wanapiga siku hizi ndio imekuwa their other lover
Jamaa anachocha the wing bandit na hana mabawa
Mara ngapi wanachoma rada wakitry kuflex
Mbona unataka kuchomea mwenzako alafu umpige dent
We juwa mafish wamechizi hizi area na wao ndio wanakula kwa net
Mambo inapigwa connect collect ondoka na upige the race
Written by: Chris Oduor, Chumba Cha Ngoma, Kosam Emmanuel Songwe
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...