クレジット

PERFORMING ARTISTS
Imuh
Imuh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Mwambogoso
Ibrahim Mwambogoso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Terriyo Monster
Terriyo Monster
Producer

歌詞

[Verse 1]
Mama punguza mizuka ee, ndani hakuna feni
Na hivyo unavyo payaku, ee utaamsha maruani
Toka giza mpaka kuna kucha wewee unaamsha maruani
Unatupa alafu unaokota tena, hiyo michezo gani
[Verse 2]
Basi baby usicheke, tabasamu lako linanimaliza
Nisije nikapata mapepe, nikaja kukuhonga nyumba ya baba
Kwani baby unatafuta sifa, sehemu ya kutembea mbona unaruka
Na mi mwenzako nimesha pofuka, nionyeshe zebra nataka kuvula mamaaa
[Verse 3]
Alafu una makusudi we mtoto
Kisa unajua ugonjwa wangu mideko
Basi unanitazama kwa maringo
Unapenda michezo ya kutafuta wototo
[Chorus]
Nikikuendekeza wee utanizoesha vibaya (Wee mtundu wee mtundu)
Hili penzi bongo bahati mbaya (Wee mtundu wee mtundu)
Basi punguza kilometer nimechoka ile mbaya (Wee mtundu wee mtundu)
Ooh mama mama ee (Wee mtundu wee mtundu)
Aah aa
[Verse 4]
Hata ukiringa hauboi
Umejaliwa sura ya kujishauwa (Snap imekukubali)
Ukipiga picha mama unauwa (Maa)
Nna malengo na wee honey, dunian mpaka akhera
Basi tuhalalishe tuache kuzini, sema suu nitangaze ndoa
[Verse 5]
Nime date na wengi ila huyu balaaa
Hata nikikohoa anauliza kama nimeumia
Hata ukinikosea samahan ntaomba mie
Acha kujisumbua we ni beep tu nikupigie
[Bridge]
Alafu una makusudi we mtoto
Kisa unajua ugonjwa wangu mideko
Basi unanitazama kwa maringo
Unapenda michezo ya kutafuta wototo
[Chorus]
Nikikuendekeza wee utanizoesha vibaya (Wee mtundu wee mtundu)
Hili penzi bongo bahati mbaya (Wee mtundu wee mtundu)
Basi punguza kilometer nimechoka ile mbaya (Wee mtundu wee mtundu)
Ooh mama mama ee (Wee mtundu wee mtundu)
[Outro]
Aaah aa
Baby katundu katundu, katundu uuh
You can call me zuzu
Written by: Ibrahim Mwambogoso
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...